Mwigulu Nchemba yupo wapi?

Status
Not open for further replies.
Ameniaga anakwenda Mbinguni kutoa ushahidi wa kesi ya ugaidi wa CDM kwani alishakata rufaa huko, hivyo amehitajiwa kwenda kutoa ushahidi.
 
Mwigulu alijipa nafasi 2 za kutoa ushahidi kwenye kesi ya ugaidi wa Lwakatare kuwatayari kutoa ushahidi mahakamani na mbinguni.Ushahidi wa mahakamani umeshaota mbawa ushahidi aliobaki nao ni wakwenda kutoa mbinguni kwa hiyo anafikiria namna ya kwenda kutoa ushahidi huo ambao hauwezi kutolewa bila kufa.
 
Yupo anaaanda part II ya movie ya ugaidi baada ya ile ya kwanza kutouza sana mtaani. Ile alitengenezea bolyhood hii nasikia yupo hollyhood.
 
Nchi zote hizo ndiko nyumbani kwa mitandao, mwambieni aje hapa alete ushahidi atakaopeleka Mbinguni maana duniani umeshindikana......
 
kabla ya kutoa ushahidi mbinguni tunahitaji walau atoe ushahidi kidogo juu ya movie yake ya bk boy
 
Anaandaa movie mpya
kaeni mkao wa kustuka na mshangao
 
Mwigulu ni Mtu hatari sana, ni bora akae kimya namna hiyo hiyo
 
Yupo ana edit movie nyingine na mwenzie wa kudadadeki....(bob Lusinde)
 
Inamaana na wewe uko tayari kushindana naye kwa kuongea upumbavu.

sina maana hiyo bali kuwa kuonyesha woga atazidi kuzusha mambo ya uongo ss tuwe tayari kukabiliana nae na uzushi wake.
 
Hushaambiwa yupo china ametumwa na tusker larger kuangalia mzigo akirudi atapitia israel kuwaulizia ilikuaje hadi kamanda marando kagundua ile mtambo wa kutengeneza namba feki za simu akitoka hatofikia JNIA (NYERERE AIRPORT) bali atashukia nairobi then atachukua fast boat hadi ikulu si unajua ikulu ipo karibu na bahari atawasilisha mapendekezo kwa fastjet then atapewa escort hadi kijitonyama wanapokaa TISSCCM kesho yake ataita press conference lumumba ndipo atakapoanza kuropoka.RIP CCM.
 

mmmh mm sipo hapo.
 
Amewekwa kimwali wa daku-anafundwa ili akitoka apate .....huz

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yupo ana edit movie nyingine na mwenzie wa kudadadeki....(bob Lusinde)

Teh ha ha anajifunza Video production mwenyewe?cos wazushi wengne wanachhakachua

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…