Mwigulu Nchemba ni Simba anaeunguruma

Kuna wanafunzi wa vyuo vikuu siku hizi? Ni watoto wa advanced secondary school! Vyuo vikuu viliisha miaka ya 80!

Umeongea ukweli mchungu, eti udsm unapita mwaka hakuna kunji, inafika mpaka miaka mitatu eti tambarale kama kanisani pambaufu kabisa.
 

Kumbe ni umoja wa wanafunzi, mimi nilifikiri umoja wa Wananchi, sio mbaya na siyo vibaya wakamuunga mkono Mwigulu!
 
Umeongea ukweli mchungu, eti udsm unapita mwaka hakuna kunji, inafika mpaka miaka mitatu eti tambarale kama kanisani pambaufu kabisa.

Mzee Punch and his publications. " ...Mzee warns anyone to temper with Mzee's publication...." Mzee remains at large incognito!! That was UDSM of 1980s
 
Reactions: 999
MWIGULU NA SAKATA LA WANAFUNZI KUPELEKWA MAHAKAMANI,
Wanafunzi wa Vyuo vikuu nchini wasema, Mwigulu Nchemba ni mtetezi wa kweli wa Wanyonge, anaitwe SOKOINE WA PILI RASMI.

Kauli ya Ndg Mwigulu Nchemba kuwa wanafunzi wanaotuhumiwa kufanya migomo wasipelekwe MAHAKAMANI kimepokelewa kwa shangwe na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini. Akijibu bango katika mkutano wa hadhara uliofanyika morogoro lililosema SOKOINE WA PILI MALIZA TATIZO LA MIKOPO, ndg Mwigulu alusema nimelipokea, tutahakikisha tunaweka vyanzo vya mapato kwenye mfuko wa elimu. Lakini, sioni mantiki ya kuwapeleka hao wanafunzi mahakamani.
1) Mahakamani wapelekwe wezi na mafisadi waliokwapua mali ya umma na haki za watu sio wanafunzi wanaodai haki zao. Kama wamekisa wapewe adhabu za kiuabafunzi tunazozijua.
2) Tungewapa hela yao kwa wakati wasingegoma, hivyo tiba sio nahakamani bali ni kubana matumizi mengine ili fedha iwafikie wanafunzi kwa wakati
3) Viongozi wa wanafunzi wapo kikanuni na husimamia matakwa ya wanaowaongoza. Ni ama usimamie tunayotaka au ujiuzulu, hivyo kuwa adhibu viongozi kama vinara tena mahakaman nikuwaonea.
4) Hawa ni watoto wa masikini, wamesomeshwa kwa shida, kujibana, kuwafukuza na kuwapeleka mahakamani ni kuiadhibu familia nzima na pengine ukoo mzima.
" TUWAPELEKE MAHAKAMANI WALIOIBA MALI YA UMMA MPAKA WANAFUNZI WAKAKOSA MIKOPO BADALA YA KUWAPELEKA MAHAKAMANI WALIOKOSA MIKOPO" alisema Mwigulu huku akushangiliwa na maelfu ya wananchi wakuwepo wanavyuo.
 
Ame foji,jina,umri,Arusha hakanyagi;Sifa zimepelea.Angekuwepo Nyerere angesema umri bado.Sisi tunasema HAFAI
 
acha kula pumba ilochanganywa mbegu za bangi ndugu...tangu lini mmekua wasemaji wa wanavyuo?
TEAMm lowassa
 
Last edited by a moderator:
labda wanafunzi wa DIVISION SEVEN na FIVE lakini sio watu wenye akili zao timamu. Pppppmbav
 

sema chaguo lako! umoja umoja unaujua umoja weweee! naniii ka umoja
 
Salaam Wazalendo na wapenda mabadiliko.

Azimio la Arusha litarejea rasmi Novemba 2015 chini ya Jemedari Mwigulu. Mafisadi na wahujumu uchumi kukiona cha moto, Tanzania kubadilika na kuwa kama China ya Mao
 
Acha kutuharibia siku wewe mtu usiyejitambua haya mambo ya kutunga uongo yanakwisha mwezi wa tatu mwishoni panga litakapoanza kutembea hakutakuwa na wehu kama hawa.
 
Mwigulu huyu huyu aliyewahi kuitwa Savimbi!? au ni huyu anayetuhumiwa kudanganya umri!?
 
Kama ni chaguo lao si wamchukulie form za urais za TAHLISO wampe kula zao
 


Kivipi? Wakati MOJA YA MASHARTI Tuliyoyakubali ili Investors wachimbe GOLD... COAL... GAS na kutembelea WATALII wetu ni kuwa hakuna tena NATIONALIZATION...

Na NGUZO 5 za UONGOZI hawezi kuzirudisha as CLASSES and CLASS WARFARE Created... BRAINSTORM DONE...
 
Kinana na Nape nao kwa mienendo yao wanajiandaa kugombea urais
 

Wew kwa jinsi ulivo coment lazima utakuwa mwasim kweli tena wale wa KISWAHILI !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…