Mwaka Mpya 2015
Member
- Jan 2, 2015
- 87
- 34
Ni simba wa nini mkuu.......
wala mimi sipi Dar es Salaa mkuu kwaiyo hayo ya Mikocheni siyajui na ni uongo mkubwa.........Leo hii Mwigulu na wapambe wake wanakuwa na authority gani kuchallage Transcript ya UDSM.....alikuwa wapi tokea awali kama issue ya umri ilikosewa? Na kama aliripoti copy ya pili ikowapi?Simba wa vita ya uraisi ameunguruma okampo kavaa pampasi bize mikocheni stationary kutengeneza vyeti feki
baada ya kutafakari kwa kina harakati na mienendo ya mwigulu nchemba naibu katibu mkuu ccm bara na naibu waziri wa fedha nimegundua mwanaume hutu ni simba. ....
Kwanza nikiri hana uadui na mtu yoyote na kwa mbali inaaminika ni left wing wa lowasa au chaguo namba mbili iwapo lowasa ataenguliwa jina lake kamati kuu...basi atamuunga mkono mwigulu nchemba. ...
Misimamo yake maisha yake mbinu zake na harakati zake zimemfanya kua mwanasiasa mwenye nguvu katika wakati mfupi tuu. ..
Amejizolea umaarufu mkubwa katika taifa hili na kuonekana ni mwiba nje ya ccm kwa wapinzani na ndani ya ccm kwa wasaka urais
hofu ya mwigulu kuingia ikulu imetanda katika kila moyo wa mwanaccm na mioyoni mwa watanzania wengi huku wengine wakiona kama miujuza
wapo wanaohaha kujaribu kuzima moto huo lakini wanakutana na roho ngumu yahoo mwigulu nchemba harudi nyuma wala hapunguzi ni mapambano makali ni vita nzito....
Nitumie nafasi hii kuwatakia kila la heri wanaoshinda stationary kutengeneza vyeti feki na barua feki mwisho mtapata raisi feki anaewatuma kufanya hivyo
wanyiramba tunasema songera zigizigi....
View attachment 220381
well said Mkuu........kama UD walikosea swala la umri alikuwa wapi muda wote kuomba libadilishwe........Na kama ni kweli ana umri huo basi alidanganya kipindi anagombea Uvccm years backWeka vyeti vyake halisi hapa. Tumewachoka na uongo wenu wa majina,shahada na umri. Mmekwama mwaka huu
Cc:vuta-nkuvute.Weka vyeti vyake halisi hapa. Tumewachoka na uongo wenu wa majina,shahada na umri. Mmekwama mwaka huu
ID yako inalingana na matendo yako kuzunguka na chopa angani yeye anasaka udiwani au.Hahahahahaahhahahahaahah mwiguli pasua kichwa aisee anawatesa wasaka uraisi balaaa
wala mimi sipi Dar es Salaa mkuu kwaiyo hayo ya Mikocheni siyajui na ni uongo mkubwa.........Leo hii Mwigulu na wapambe wake wanakuwa na authority gani kuchallage Transcript ya UDSM.....alikuwa wapi tokea awali kama issue ya umri ilikosewa? Na kama aliripoti copy ya pili ikowapi?
View attachment 220384
Unazungumzia hii transicrpt ya kutengeneza hapa bado hamjaweka umri na picha yake mkuu
Hapa chini mmeweka jina na picha wajinga saana nyie mhuuu....
View attachment 220386
Kazi ya mikocheni stesheni tumefika tumeona ujinga wote huu ocampo
Hahahha mnachekesha sana mkuu.......kwanza kabisa punguza kutoa povu kwa kutukana, utakula ban bure, mimi mwenyewe nimetoka kifungoni saizi, kwaiyo sitaki ule ban........pili hiyo Transcript ni vijana wake ndiyo walikuwa wanajaribu kupotosha umma ya kwamba imetengenezwa na watu fulani.........View attachment 220384
Unazungumzia hii transicrpt ya kutengeneza hapa bado hamjaweka umri na picha yake mkuu
Hapa chini mmeweka jina na picha wajinga saana nyie mhuuu....
View attachment 220386
Kazi ya mikocheni stesheni tumefika tumeona ujinga wote huu ocampo
Hahahha mnachekesha sana mkuu.......kwanza kabisa punguza kutoa povu kwa kutukana, utakula ban bure, mimi mwenyewe nimetoka kifungoni saizi, kwaiyo sitaki ule ban........pili hiyo Transcript ni vijana wake ndiyo walikuwa wanajaribu kupotosha umma ya kwamba imetengenezwa na watu fulani.........
Noamba tusiandikie mate wakati wino upo, details zaidi zitatoka Ud kusapoti hilo kama hiyo Transcript yao bado hamuiamini..............kila kitu kitakuwa wazi with more findings.....