Jana ktk hali isiyotarajiwa Mwingulu Nchemba alikiri kutoa matamko ya kuudhi kwa CDM,alisema alipotupa budget ya upinzani,Mh Mbowe alimtaka aache tabia za ajabu km hiyo,lakini yeye NCHEMBA akasema aliponiambia hvyo nikarudia tena kwa kusema sijui nini ...CDM na sebule. n.k
mytake.. CCM wampeleke Haraka Milembe huyu mtu,na ikiwezekana asiruhusiwe kuhutubia kabla ya hotuba zake kuhaririwa,lasivyo anashiriki kwa kiwango cha juu sana kuiua CCM DHAIFU
Kabla hajafika huko viongozi woooote wa Chamauaji watakuwa wanatembea uchi barabarani, maaana huo mchakamchaka anaowapigisha si mchezo. Mwenyekiti wenu kaamua kuanzisha mashindano ya matusi.bado kidogo tu ataanza kutupa makopo.
Kabla hajafika huko viongozi woooote wa Chamauaji watakuwa wanatembea uchi barabarani, maaana huo mchakamchaka anaowapigisha si mchezo. Mwenyekiti wenu kaamua kuanzisha mashindano ya matusi.
Kabla hajafika huko viongozi woooote wa Chamauaji watakuwa wanatembea uchi barabarani, maaana huo mchakamchaka anaowapigisha si mchezo. Mwenyekiti wenu kaamua kuanzisha mashindano ya matusi.
Kabla hajafika huko viongozi woooote wa Chamauaji watakuwa wanatembea uchi barabarani, maaana huo mchakamchaka anaowapigisha si mchezo. Mwenyekiti wenu kaamua kuanzisha mashindano ya matusi.
Jana ktk hali isiyotarajiwa Mwingulu Nchemba alikiri kutoa matamko ya kuudhi kwa CDM,alisema alipotupa budget ya upinzani,Mh Mbowe alimtaka aache tabia za ajabu km hiyo,lakini yeye NCHEMBA akasema aliponiambia hvyo nikarudia tena kwa kusema sijui nini ...CDM na sebule. n.k
mytake.. CCM wampeleke Haraka Milembe huyu mtu,na ikiwezekana asiruhusiwe kuhutubia kabla ya hotuba zake kuhaririwa,lasivyo anashiriki kwa kiwango cha juu sana kuiua CCM DHAIFU
Kujisaidia kunahita faragha mkuu. Mbunge mzima huna stara hata kidogo? Ivi aliyekunanihilu alitembea na nini?