Mwigulu nchemba;mbowe aliponitaka niache upuuzi wangu,nikarudia tena baada ya siku chache

Determine

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
257
79
Jana ktk hali isiyotarajiwa Mwingulu Nchemba alikiri kutoa matamko ya kuudhi kwa CDM,alisema alipotupa budget ya upinzani,Mh Mbowe alimtaka aache tabia za ajabu km hiyo,lakini yeye NCHEMBA akasema aliponiambia hvyo nikarudia tena kwa kusema sijui nini ...CDM na sebule. n.k

mytake.. CCM wampeleke Haraka Milembe huyu mtu,na ikiwezekana asiruhusiwe kuhutubia kabla ya hotuba zake kuhaririwa,lasivyo anashiriki kwa kiwango cha juu sana kuiua CCM DHAIFU
 
Mie pia nimemsikia na nikamuona kama hakutumia kichwa vizuri na zaidi niliona ameashiria kichwa chake kionekane kina kazi ya kuotesha nywele tu.lol!
 
Jana ktk hali isiyotarajiwa Mwingulu Nchemba alikiri kutoa matamko ya kuudhi kwa CDM,alisema alipotupa budget ya upinzani,Mh Mbowe alimtaka aache tabia za ajabu km hiyo,lakini yeye NCHEMBA akasema aliponiambia hvyo nikarudia tena kwa kusema sijui nini ...CDM na sebule. n.k

mytake.. CCM wampeleke Haraka Milembe huyu mtu,na ikiwezekana asiruhusiwe kuhutubia kabla ya hotuba zake kuhaririwa,lasivyo anashiriki kwa kiwango cha juu sana kuiua CCM DHAIFU

bado kidogo tu ataanza kutupa makopo.
 
bado kidogo tu ataanza kutupa makopo.
Kabla hajafika huko viongozi woooote wa Chamauaji watakuwa wanatembea uchi barabarani, maaana huo mchakamchaka anaowapigisha si mchezo. Mwenyekiti wenu kaamua kuanzisha mashindano ya matusi.
 
kumjadili nchemba ni kumpa sifa za bure -- si mwanasiasa kijana mwenye kujenga hoja kama walivyo wenzake wenye kiwango. hamna kitu mule.
 
Kabla hajafika huko viongozi woooote wa Chamauaji watakuwa wanatembea uchi barabarani, maaana huo mchakamchaka anaowapigisha si mchezo. Mwenyekiti wenu kaamua kuanzisha mashindano ya matusi.

Unamaanisha kutupa bajeti ya upinzani chini nakuiita takataka ndo kupigisha watu mchakachaka? Nahisi huyo mh. huwa anapangilia mambo yake hovyo hovyo na sidhani kama huwa anayafanyia tathmini kujua kama yanamjenga au kumbomoa kisiasa.
 
Achaneni nae huyu mchemba kuendelea kumjadili ni kumpaisha tunamsubilia 2015 tumfanye kama Masha wa Nyamagana.
 
Kabla hajafika huko viongozi woooote wa Chamauaji watakuwa wanatembea uchi barabarani, maaana huo mchakamchaka anaowapigisha si mchezo. Mwenyekiti wenu kaamua kuanzisha mashindano ya matusi.

Kujisaidia kunahita faragha mkuu. Mbunge mzima huna stara hata kidogo? Ivi aliyekunanihilu alitembea na nini?
 
Kabla hajafika huko viongozi woooote wa Chamauaji watakuwa wanatembea uchi barabarani, maaana huo mchakamchaka anaowapigisha si mchezo. Mwenyekiti wenu kaamua kuanzisha mashindano ya matusi.

hacha utoto wewe mwenyewe alaf una sema kabla ajafika.
Ulitakiwa kusema kabla hauja fika!

Kweli kila mtu ameona laana uliyo nayo na kweli lazima utakuja kuokota makopo!
 
Halafu NUPE wao..eti mengine atasema yeye Nchemba! ndo LINCHEMBA linakuja na kusema aliponiambia niache namimi nikarudia tena,mara hii nikifananisha CDM kama familia moja inayokutana bungeni na sebuleni,hlf press conf...ikaishia hapo...
sikuwaelewa wote NUPI NA NCHEMBI
 
USISAHAU KALE KA MSEMO: "UKIMWAMSHA ALIYELALA..."! waacheni waendelee kuiamsha TZ ili tuinyakue dola 2015.

Jana ktk hali isiyotarajiwa Mwingulu Nchemba alikiri kutoa matamko ya kuudhi kwa CDM,alisema alipotupa budget ya upinzani,Mh Mbowe alimtaka aache tabia za ajabu km hiyo,lakini yeye NCHEMBA akasema aliponiambia hvyo nikarudia tena kwa kusema sijui nini ...CDM na sebule. n.k

mytake.. CCM wampeleke Haraka Milembe huyu mtu,na ikiwezekana asiruhusiwe kuhutubia kabla ya hotuba zake kuhaririwa,lasivyo anashiriki kwa kiwango cha juu sana kuiua CCM DHAIFU
 
Naungana na wote waliosema kumjadili Nchemba ni kumpandisha chati asiyostahili, inabidi tujadili mambo yenye tija wanajamvi.
 
Back
Top Bottom