Mwigulu nchemba;mbowe aliponitaka niache upuuzi wangu,nikarudia tena baada ya siku chache

Tunaweza kuonekana sisi vichaa kwa kumjadili huyu mpuuzi

Mbona yule Matonya amepata umaarufu mkubwa miongoni mwa ombaomba nchini, kajadiliwa sana, kaandikwa sana magazetini nk, lakini hakutajirika kwa hilo, wacha tu huyu muuaji achanwechanwe na kuanikwa, asiemjua amjue.
 
ni rahisi sana kumjua Nchemba kama ni hamnazo; yupo kama comedy fulani hivi.

Ni kweli iliyo wazi kuwa 2015 Nchemba harudi tena bungeni. Hata yeye anajua hilo. Iramba magharibi imeandaliwa kamanda wa ukweli. Nae yupo nje masomoni akijiandaa kuchukua jimbo hilo. Bado miaka miwili tu. Tusubiri.
 
Jana ktk hali isiyotarajiwa Mwingulu Nchemba alikiri kutoa matamko ya kuudhi kwa CDM,alisema alipotupa budget ya upinzani,Mh Mbowe alimtaka aache tabia za ajabu km hiyo,lakini yeye NCHEMBA akasema aliponiambia hvyo nikarudia tena kwa kusema sijui nini ...CDM na sebule. n.k

mytake.. CCM wampeleke Haraka Milembe huyu mtu,na ikiwezekana asiruhusiwe kuhutubia kabla ya hotuba zake kuhaririwa,lasivyo anashiriki kwa kiwango cha juu sana kuiua CCM DHAIFU
Hajui analolifanya,anatumika tu huyo,ni suala la muda tu!
 
Back
Top Bottom