Jamani ninaomba mnisaidie Mbona Mwigulu kwenye nafasi yake ya Unaibu Waziri wa Fedha sera anaonekana na kuwa na nguvu za Kiutendaji zaidi ya Waziri wake?
Kila mara namsikia Mwigulu tu! Mbona Waziri hasikiki na kila jambo ni Mwigulu tu? Ikumbukwe nafasi ya Mwigulu ndiyo alikuwa anaishikiria Bi Janet Z Mbene ambaye hakusikika sana kama mwigulu japo alifanya kazi vizuri sana zaidi ya Mkuya.
Mytake! Bro Mwigulu ni uzalendo au ni Urais 2015? Kama ni uzalendo basi Mwigulu ni role mode kwa mwaka huu.
Mtu akiwa mtandaji kosa akiboronga napo kosa nyie bavicha zuri kwenu ni lipi sasa.Jamani ninaomba mnisaidie Mbona Mwigulu kwenye nafasi yake ya Unaibu Waziri wa Fedha sera anaonekana na kuwa na nguvu za Kiutendaji zaidi ya Waziri wake?
Kila mara namsikia Mwigulu tu! Mbona Waziri hasikiki na kila jambo ni Mwigulu tu? Ikumbukwe nafasi ya Mwigulu ndiyo alikuwa anaishikiria Bi Janet Z Mbene ambaye hakusikika sana kama mwigulu japo alifanya kazi vizuri sana zaidi ya Mkuya.
Mytake! Bro Mwigulu ni uzalendo au ni Urais 2015? Kama ni uzalendo basi Mwigulu ni role mode kwa mwaka huu.
Mtu akiwa mtandaji kosa akiboronga napo kosa nyie bavicha zuri kwenu ni lipi sasa.
Jamani ninaomba mnisaidie Mbona Mwigulu kwenye nafasi yake ya Unaibu Waziri wa Fedha sera anaonekana na kuwa na nguvu za Kiutendaji zaidi ya Waziri wake?
Kila mara namsikia Mwigulu tu! Mbona Waziri hasikiki na kila jambo ni Mwigulu tu? Ikumbukwe nafasi ya Mwigulu ndiyo alikuwa anaishikiria Bi Janet Z Mbene ambaye hakusikika sana kama mwigulu japo alifanya kazi vizuri sana zaidi ya Mkuya.
Mytake! Bro Mwigulu ni uzalendo au ni Urais 2015? Kama ni uzalendo basi Mwigulu ni role mode kwa mwaka huu.
Hakuna kitu hapo wanajitaidi asikike kwa sababu nikiongozi wa chama
waziri yuko likizo ya uzazi.so lazima awepo mkuu wa wizara.MLN ndiyo mkuu kwa sasa
Kwa nini Magamba mmekariri neno "Mytake" kila uzi unaoletwa na magamba utaona wanaweka neno "Mytake" Magamba nendeni English course.