MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Yaani raia wanauawa kule KIBITI waziri wa mambo ya ndani yupo! Hachukui hatua yeyote kuwajibika kumpisha mwenye uwezo, hili tatizo linakosa mbinu za kimkakati kulikabili. Nina uhakika kuna watu wazoefu na mambo kama haya, wewe ungepisha tu kiungwana utaeleweka kuliko kuendelea na nafasi hiyo huku watu wanaendekea kufa.
Wewe ni mwanasiasa typical na sio mtendaji, uwaze ya 2025 na yale ya Singida United ni saangapi KIBITI patatulia?Hii nafasi inatakiwa anatakiwa mtu ambaye ata-concentrate moja kwa moja na sio mwenye mambo mengi kichwani. Hii nafasi siwezi kusema moja kwa moja. Kuwa inakushinda bali tatizo ni wingi wa mambo uliyonayo.Ungewajibika tu brother. Mzee ruksa alifanya hivyo lakini ndoto yake bado ilitimia tu.
Hivi ni kwanini wabongo tunapenda sana vyeo? Mtu uking'atuka kuwapisha wengine ukabaki na ubunge ni shida? Ingekua Bashite ni sawa, maana yeye akiachia ngazi hana pakwenda maana hana, vyeti feki, hana jimbo na pamoja na pia hata kama angeweza kua mjasiriamali kwa ukwasi alionao kwa sasa.