Mwigulu Nchemba chupu chupu kupigwa MERU

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Dakika chache baada ya kugawa ela pale kilala kwa wazee hata ambao si wapiga kura,kundi la vijana toka sing'isi lilipata taarifa za 'uvamizi huo wa wakati huu'na kujipanga kumpiga mawe ila waliposhuka wakakuta jamaa kaondoka katibu huyo wa fedha wa ccm.wanadai ccm imeshindwa kuwagawia viwanja hususan kile walichomuuzia Aloyce kimaro halafu leo eti wanajipitisha kutaka kura.MWIGULU wanataka uthubutu tena kisa eti 'UCHAGUZI'uone.
 
Rais wake anatangaza ukata serikalini yeye anatangaza ukwasi na anagawa hela!!!!!!!!
 
Mkuu fuatilia zizuri kilala jamaa alipokewa kwa shangwe sana na mpaka anaondoka ilikuwa kama mhubiri, dk chache zipi mbona nimefuatilia leo tumepiga cm alizoacha yuko Urambo tabora kule
 
Unajua ingekuwa kila kiumbe kitakavyo ndicho kinatokea kwa kilio cha kuku mwewe wote wangekufa, huyu jamaa hapigwi kwa kuandikwa JF kwani anapotokea watu wanamshangilia sana
 
hapo umenena jamaa ni balaa kwa wake za watu ama wanawake wasio kuwa na misimamo. Igunga kawalamba ile sana tu

Nayeye mwigulu ajipange atembee na shanti kabisaaaa maana kakazini adhabu ya kutoka na mke na watu ni kukodiwa wazibua chooo wamzibue....
 
Kamfungulia Dada Mmoja Printing Unit Pale kariakoo!! Na huyu dada ni Hawara Yake!! Duh Jamaa kiboko!!! Printing yote ya magamba anafanya Yeye!! ""Kama sio fisadi Huwezi Kukaa mAGAMBA""
 
mbona mnatuchanganya sasa si mlisema huyu jamaa anapendwa sana na watu kupita maelezo sasa ni tena
 
Mwigulu Mchemba siku zake zina hesabika,serikali yake haina hata hela ya kujiendesha yeye za kugawa anapata wapi?
 
Mwigulu Mchemba siku zake zina hesabika,serikali yake haina hata hela ya kujiendesha yeye za kugawa anapata wapi?

Jamani pamoja na kuwachukia hawa magamba ni vizuri kufahamu mafisadi huwa hayaishiwi pesa maana yana kazi ya kuwaibia watanzania wakati wote
 
Back
Top Bottom