Ni kweli mtupumwigulu hajui KAZI yake
Mlemavu anapoamua kutumia njia za kiuwanaharakati kudai haki yake anategemea nini?Dah ila nchii hii Bhana yaani mlemavu ambaye hata kukimbia hawezi ndio unampiga hivo kana kwamba amekataa kukamatwa??? Yaani wangetumia hasira hizi kuwasaka magaidi wa kibiti naona mauaji yangekuwa yameisha zamani sana
Hujafa hujaumbika, nakukumbusha tu maana Mungu anakuona!Mlemavu anapoamua kutumia njia za kiuwanaharakati kudai haki yake anategemea nini?
We naye acha unafki siku ile wanapiga wafuasi wa CUF pale mtoni mtongani wwe mbona ulisifia kuwa watii sheria bila shuruti and all that!!!! Cku ile kina lembeli wakafurumushwa na virungu na mabomu kule kahama mbona hukutetea au kuumizwa?? Leo hii ndio unaona polisi inatia aibu ila akisema lema na lisu unawakejeli ila kwakuwa mwigulu kakiri kukosea wwe naye ndio unajifanya umeguswa???? Acha unafki mkuuNi aibu pia Kwa Polisi kama ingekuja thread humu kuwa Polisi wameshindwa kuwaondoa Walemavu.