B barazza lengurumo Senior Member Joined Sep 28, 2013 Posts 116 Reaction score 26 Sep 30, 2015 #21 budget ya malori imeisha!!!!
Mbulu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 5,619 Reaction score 5,519 Sep 30, 2015 #22 Mbulu alipata watu 22
mbinde JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 801 Reaction score 652 Sep 30, 2015 #23 Hahahahahaaaaaaaa japo wanatuumiza kwa mikataba yao mibovu wacha nicheke napoona dalili ya kupingwa kwao.
Hahahahahaaaaaaaa japo wanatuumiza kwa mikataba yao mibovu wacha nicheke napoona dalili ya kupingwa kwao.
Papaa Kinyani JF-Expert Member Joined Feb 25, 2013 Posts 1,457 Reaction score 699 Sep 30, 2015 #24 Mwaka huu hamna rangi wataacha kuona, tumechokaaaaaa
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,251 Reaction score 13,506 Sep 30, 2015 #25 Arusha wanaogopa kutukanwa na vile vile hawapendi kutukana...!!
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,080 Reaction score 12,080 Sep 30, 2015 #26 Endeleeni kujazana ujinga baada ya oct 25 watu wanashangilia ushindi. MAGUFULI NDIO CHAGUO LETU.
TOWNSEND JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 2,598 Reaction score 460 Sep 30, 2015 #27 Yule jamaa aliekuwa anatafuta nae kura za chuki wakati wa madiwani wa arusha bora angemrudia amuombe msamaha kwani alimzalilisha sana
Yule jamaa aliekuwa anatafuta nae kura za chuki wakati wa madiwani wa arusha bora angemrudia amuombe msamaha kwani alimzalilisha sana
J John Dengu Senior Member Joined Jun 19, 2015 Posts 108 Reaction score 20 Sep 30, 2015 #28 Yalaaaah!
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,626 Sep 30, 2015 #29 CCM wangeachana na kanda ya kaskazini na kuwekeza nguvu zao kanda nyingine.
Jigsaw JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 1,823 Reaction score 684 Sep 30, 2015 #30 Siasa za matusi zina mwisho wake.
U Undu JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 3,525 Reaction score 1,904 Sep 30, 2015 #31 Mzimu WA Dr ulimboka NA Mwangosi hautaicha salamander Ccm
N nkongu ndasu JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 22,532 Reaction score 6,628 Sep 30, 2015 #32 mwigulu hajui atendalo ndo maana kafukuzwa kwenye team kampeni ya maghufuli.