Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,428
Wakati Lowassa akiahirisha mkutano huko Tanga kwa sababu ya msongamano wa watu, Mwigulu Nchemba ameahirisha mkutano huko Arusha kwa kukosa watu. Watu walijitokeza wachache na badala ya kumsikiliza, wakaanza kumzomea.
![]()