balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,839 Reaction score 15,671 Jun 11, 2015 #41 hapo mwigulu anatenda kama wote tunavyotenda hakuna jipya hapo sema mwanasiasa mufilisi kila kitu anafikiri kitampa credit kisiasa.huyo hata kufunga nepi hawezi na akiona mavi ya mtoto tayari anaita Dada.achana na wanasiasa wasio hasa.
hapo mwigulu anatenda kama wote tunavyotenda hakuna jipya hapo sema mwanasiasa mufilisi kila kitu anafikiri kitampa credit kisiasa.huyo hata kufunga nepi hawezi na akiona mavi ya mtoto tayari anaita Dada.achana na wanasiasa wasio hasa.
C chamba matwe Senior Member Joined Jan 12, 2015 Posts 168 Reaction score 30 Jun 11, 2015 #42 Tuko said: Yupo kwa nyumba ndogo au? Maana sitajii waziri aishi kwenye kichumba cha hivo... Click to expand... Labda ni chumbani kwa mwanae au kwake,lisikuumize kichwa hilo
Tuko said: Yupo kwa nyumba ndogo au? Maana sitajii waziri aishi kwenye kichumba cha hivo... Click to expand... Labda ni chumbani kwa mwanae au kwake,lisikuumize kichwa hilo
M Mbarikiwa Mollel JF-Expert Member Joined Jan 13, 2015 Posts 241 Reaction score 50 Jun 11, 2015 #43 Ukiwa na nafasi ukafanya siasa raha sana..!!
M Mbarikiwa Mollel JF-Expert Member Joined Jan 13, 2015 Posts 241 Reaction score 50 Jun 11, 2015 #44 Hapo viroba na mbege vilishatawala ubongo..!!