Mwigulu Nchemba aagwa Iramba Magharibi


Threads za Mwigulu aziishi kwa kuwa hajui siasa na anadhani upinzani ni uadui. He is still young and i can bet he is going to face a very bitter political end.

Tiba
 
Na huu ndo msimu wake wa kwanza katika ubunge na ashachokwa? Atakomaje?
 
waambieni hao watu kuwa mwigulu hataki tena ubunge bali anagombea urais. Ha ha haa!

Sent from my blackberry 9860 using jamiiforums

kama na nchemba anataka uraisi basi ni bora mbwa atawale nchi hii sio nchemba. Tahiliso tulisha kuambia ujinga wako na sifa za kijinga ndo zinakufanya tukuchukie kama unabisha nenda udom,udsm au saut uone cha moto.eti first class wangapi tunazo na serikali yako isiyo na dira haitupi ajira? Ajira ni kwa watu kama ritz na siyoyi sumari tu mfano nenda bank kuu.
 
ushahidi wa picha ndio utakaoweza kufufanya kuamini hii tread yako.
 
Waambieni hao watu kuwa Mwigulu hataki tena ubunge bali anagombea urais. Ha ha haa!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
mkuu kinauche Hahaha hahaha hahaha hahaha
 
Namchukia huyo jamaa, pamoja na yeyote anayetumia jina hili la Mwigulu
 
Mwigulu siyo mtu wa kumjadili kwa sasa, kwani ni kama marehem anayetembea.
 
Taahira kashindwa jimbo sasa anaufikiria uraisi. Lakini akigombea pale mirembe machizi wenzake wanaweza kumpa kura.

Wenzake huko sisim wameshamchoka nani atampendekeza, watu wengine bwana yani kweli mwigulu anafikiri watz ni mataahira mpaka adiriki kufikiria urais? du hii tz hii!
 

Kumbe Mwigulu nakujitapa kwake kote kule nikajua jimboni kwake mabomba yanatoa maziwa na asali lakin kumbe ni majanGa,,,duuuhhh,,,!!!
 
Angalau wanaSINGIDA wameanza kuona ukombozi kwa mbali!!!!!!!!!
 
Nchemba vijana wako wa buku 7 hawakutetei tena au mmeshindwana malipo? Jifundishe siasa safi maana mungu akisema nyumaaa geuka, wa mwisho ndio anakuwa wa kwanza.
 
Nape na kinana na huyo chemba la vima wasipoitaja chadema hawauziki na wewe unajifanya mwehu wakati ushaitaja chadema kama mvua......
 

Kwa logic yako hii hii (kuwa mwigulu ni mwiba kwa kuwa threads nyingi zinamhusu), hesabu threads zinazowahusu Dr Slaa na Mh Mbowe separately, zilinganishe kwa idadi na zinazomhusu Mwigulu then njoo hapa utuambie nani ni mwiba!
 
Threadnyingi anajiandika yeye mwenyewe! Hujajua hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…