Nyerere alikuwa na maneno ya busara sana na kutanguliza maslai ya taifa mbele, lakini wewe bwana Mwigulu nimepata kusikiliza speech zako zimejaa matusi na maneno ya mipasho dhidi ya upinzani badala ya kujibu kwa hoja.
Pia bwana Mwigulu uliwataka watuhumiwa wa ESCROW account walipie kodi ya serikali sasa huo sio Unyerere. Unyerere unapinga kila aina ya rushwa na ufisadi wa mali za umma.