Wananchi wasipoyaona mabadiliko ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM.Achana na CCM, hawana jipya tena!
Chini ya mwizi chenge na wala sio MzeeWananchi wasipoyaona mabadiliko ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM.
By Mwalimu Nyerere.
Tumeanza kuuona utabiri huo wa Mwalimu ukianza kutimia, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni.
Utabiri huo wa Mwalimu utazidi kutimia, kwenye upigaji kura za maoni, za katiba pendekezwa ya Sisiem, iliyoandikwa chini ya usimamizi wa mzee wa vijisenti, ambapo kura hizo zitapigwa tarehe 28/4/2015.
Utabiri huo wa Mwalimu utakamilika kutimia kwake, kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.
Like father, like son
Hapo nilikuwa na maana kuwa, ukiangalia umri wa JK, ukiulinganisha na unri wa Nchemba, inawezekana kabisa kiumri JK akawa babayake Mwigulu Lameck.Una maana gani kuhusu hiyo kauli?
uadilifu wa mtu ndio tuuangalie wananchi wenzangu hata kama tunabadili chama kwa kutaka tunayofikiri yatakuwa bado uwezekanp wa kuyakosa upo kutokana na uadilifu wa kiongozi mwenyewe. kwasababu hakuna chama chenye sera mbovu ukitaka kujua hilo tafuta au angalia sera hata za TLP utagundua hili hivyo tufananishe wagombea kwa uadilifu na misimamo yao nasio kukaa tunasema hatuchagui sisiem .hata hiyo ccm ikipata kiongozi mwenye msimamo hakuna mchafu atakaebaki ssem.hatakama mgombea wake ni bora hatumchagui kwa kuwa n chma kile tusifungwe kimaamuzi
Nilikerwa na uuzwaji Wa nyumba za serikali uliofanywa na Mkapa. Mwaka 2005 nilimchagua Rais Kikwete kwakuwa na yeye alionesha dalili za kukerwa Pia na uuzwaji Wa nyumba zile. Lakini hadi Leo anamaliza urais nyumba hajazirudishwa. Mwaka 2015 nimekerwa tena na wizi wa escrow, wakati huu tena Mwigulu anaonyesha dalili za wazi za kukerwa na wizi huu na ametangaza nia ya kugombea urais 2015. Mh. Mwigulu anataka kutuamisha kuwa Kama akiwa rais atayakamata majizi yote ya mali za umma. Safari hii sitaki kuamini Tena Kama mtu mmoja anaweza kufanikisha jambo kinyume na mfumo Wa chama chake. Sera ya kukamata majizi lazima iwe sera ya chama sio mgombea mmoja mmoja. Ndio maana Kikwete kashindwa kuzirudisha nyumba za serikali kwakuwa sio sera ya chama chake. Hâta Mwigulu hataweza kukamata majizi kwakuwa hatapata uungwaji mkono ndani ya chama chake. Hivyo nguruwe pita sina mkuki mie, style ile ya 2005 sintainunua tena
uadilifu wa mtu ndio tuuangalie wananchi wenzangu hata kama tunabadili chama kwa kutaka tunayofikiri yatakuwa bado uwezekanp wa kuyakosa upo kutokana na uadilifu wa kiongozi mwenyewe. kwasababu hakuna chama chenye sera mbovu ukitaka kujua hilo tafuta au angalia sera hata za TLP utagundua hili hivyo tufananishe wagombea kwa uadilifu na misimamo yao nasio kukaa tunasema hatuchagui sisiem .hata hiyo ccm ikipata kiongozi mwenye msimamo hakuna mchafu atakaebaki ssem.hatakama mgombea wake ni bora hatumchagui kwa kuwa n chma kile tusifungwe kimaamuzi
Sioni matumaini CCM. Mabadiliko ni lazima. Hayakwepeki.