Mwigulu anachomokaje?? Katika hili???

Mwigulu anachomokaje?? Katika hili???

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,775
Reaction score
9,203
wale mlioangalia Bunge siku ya jana mtakubaliana na mimi kwamba serikali ya CCM ilitumia muda wa jana kufanya propaganda juu ya kilichotokea Arusha kwenye mkutano wa CHADEMA Viwanja vya soweto.

Kilichonifurahisha japo kwa huzuni ni pale Mwigulu kijana anayetegemewa sana na CCM kufanya siasa chafu na kushambulia wapinzani alipojichanganya mwenyewe huku akitumia nguvu kuruka tope hilo la tuhuma za serikali ya CCM kuhusika, angalia kauli hizi 3 toka kwa Mwigulu,

* Anaanza kwa kusema pole kwa watu wa ARUSHA kisha anasema amani ya nchi yetu sasa inaweza kuchafuliwa na watu toka nje ya nchi yetu, anasema sio mataifa yote yanafurahia amani yetu hivyo yanaweza kutumia mwanya huo kuhalibu amani tuliyonayo ili kutukosesha fursa za kiuchumi nk.

** Hoja yake ya pili anasema tuna ugeni mkubwa na tunajua zimekuwepo habari za mataifa mengine kutofurahishwa na Nhi yetu kupata wageni hawa mfurulizo ,hivyo inawezekana kabisa kutumia mwanya huo.

*** Hoja yake ya tatu anasema CCM hawawezi kuhusika na mauaji yale eti kwasababu hakuna mazingira ambayo CCM inaweza kupata incetive kwa mlipuko ule zaidi ya hasara kwani wao ni kazi yao kuimarisha ulinzi.

**** lakini anaendelea kwa kusema ukiangalia video ya CHADEMA mtandaoni juu ya kile kilichotokea utashangaa kwani eti aliyekuwa anachukua video yeye alikuwa ametulia kama hana habari na bomu utadhani yupo kwenye harusi vile hatikisiki ametulia tuu,inawezekana vipi?? alafu anasema uki angalia ile video unamuona mbunge wa pale ARUSHA na hajali yupo tu kashika boksi la pesa na kiongozi wake.

*** MWIGULU pia anasema kama waliweza kumvalisha kijana wa watu nguo za jeshi wapige nae picture na kisha wakamwacha amefungwa gerezani familia yake wanahangaika watashindwaje kumvalisha askari nguo za polisi alafu wamtume akalipue, ameyasema haya huku mawaziri ,waziri mkuu na wabunge wa ccm wakionyesha sura za furaha na wakipiga makofi kwa nguvu sana kama ishara ya kukubali utetezi ule.

AMETOA KAULI TOFAUTI ZINAZOPINGANA MOJA MARA WATU TOKA NJE WENYE WIVU NA AMANI YETU,MARA UGENI HIVYO WATU WA NJE WANATAKA KUZUIA ,MARA CHADEMA , sasa wenye akili na weleu wanamuuliza Kwani yeye ameambiwa Ile video ilirekodiwa na kifaa gani mpaka aseme ilikuwa imetulia sana?? au ana utalaamu na video?? ,lakini kwanini aseme CHADEMA watakuwa wamemvalisha mtu nguo za askari polis ili waseme ni polisi amejuwaje kavaa nguo za polisi?? kwani amesha iyona hiyo video ?? Nadhani ataumbuka kama CHAGONJA NA KAMUHANDA WALIVYOUMBUKA KWA USHAHIDI WA KIFO CHA MWANGOSI stay turned HAKI haiwezi kushindwa dhidi ya DHULMA,,,CHADEMA wako makini ndo mana umma una waaamini<
 
Huo ndo u.t.a.a.h.i.r.a wa polisi hii mbumbumbu kwamba tokea haya yaanze haijatokea kiongozi yeyote awaye wa CCM akaitwa kuhojiwa hata kwa dakka 1 ukiachia mbali kuswekwa rumande

Yaani kwamba hii nchi wabaya wote na wanaotakiwa kuchukuliwa hatua ni Cdm ila hawezi kuwa wa Ccm hata siku moja,huo ndo ujinga wao na ndo umbumbumbu wao

Wanahisi watanzania ni mapimbi kawa wao
 
pia juiulize kwanini hawa Wahindi humu mjini wanajitapa mimi Tanzanian bana nimezaliwa hapa kariakoowapo wengiiiii na vitambulisho vya uraia lakini tafuta gereza zote za Tanzania huwezi kukuta mhuindi amefungwa wanauwa watu kila siku nkufanya uhalifu .hii hii nadharia ifanye vice versa ya ulichokiandika uwa kuna walioko chini ya sheria na wengine wanaijambia sheri a kila siku.kwa nchi yenye usawa na mhimili mzuri wa sheria mwigulu chemba hapaswi kupumulia sayari ya dunia alitakiwa awe sayari ya mars .
 
Hapa mwigulu alichofanya ni "BORA KUZUNGUMZA".hata yeye akiangalia video ya alichosema atajiona kuwa alikurupuka na hakua na ajenda ya maana sana kuzungumzia.
sioni kama hapa kuna kitu cha kujadili sana.
Hii iko wazi kwamba alichangia bila kujiandaa na alilenga kuwafurahisha wakubwa zake, ili aendelee kutetea nafasi yake ndani ya chama.
 
Mie sikuelewa jana alikua akichangia Bajeti ya wizara ya Ulinzi au Bajeti ya Seriakali? Huu Sijui elimu yake aliipaje huko Chuo Kikuu na kujiita mchumi aliyebobea kweli inawezekana ukistaajabu ya Musaa...........
 
Kumbe mambo yanenda vema tu. Mwigulu anakubaliana na CDM kwamba aliyerusha bomu alikuwa katika sare za polisi, sivyo? Ila wanatofautiana sehemu moja kwamba mrusha bomu alivishwa tu nguo za polisi na hao CDM....,

Mwanzo mzuri, kuna kitu anakijua huyu, tusubiri atasema tu kwani njia ya mwongo ni fupi sana!
 
Sawa anaweza kusema chadema walimvalisha mtu nguo za polisi, lakini amesahau kuwa alipanda gari la polisi ambalo lilienda mpaka kituo cha polisi!
Labda atuambie chadema walipaka rangi ya polisi na kuweka plate namba za PT, halafu wakatengeneza kituo cha polisi bandia

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
wale mlioangalia Bunge siku ya jana mtakubaliana na mimi kwamba serikali ya CCM ilitumia muda wa jana kufanya propaganda juu ya kilichotokea Arusha kwenye mkutano wa CHADEMA Viwanja vya soweto.

Kilichonifurahisha japo kwa huzuni ni pale Mwigulu kijana anayetegemewa sana na CCM kufanya siasa chafu na kushambulia wapinzani alipojichanganya mwenyewe huku akitumia nguvu kuruka tope hilo la tuhuma za serikali ya CCM kuhusika, angalia kauli hizi 3 toka kwa Mwigulu,

* Anaanza kwa kusema pole kwa watu wa ARUSHA kisha anasema amani ya nchi yetu sasa inaweza kuchafuliwa na watu toka nje ya nchi yetu, anasema sio mataifa yote yanafurahia amani yetu hivyo yanaweza kutumia mwanya huo kuhalibu amani tuliyonayo ili kutukosesha fursa za kiuchumi nk.

** Hoja yake ya pili anasema tuna ugeni mkubwa na tunajua zimekuwepo habari za mataifa mengine kutofurahishwa na Nhi yetu kupata wageni hawa mfurulizo ,hivyo inawezekana kabisa kutumia mwanya huo.

*** Hoja yake ya tatu anasema CCM hawawezi kuhusika na mauaji yale eti kwasababu hakuna mazingira ambayo CCM inaweza kupata incetive kwa mlipuko ule zaidi ya hasara kwani wao ni kazi yao kuimarisha ulinzi.

**** lakini anaendelea kwa kusema ukiangalia video ya CHADEMA mtandaoni juu ya kile kilichotokea utashangaa kwani eti aliyekuwa anachukua video yeye alikuwa ametulia kama hana habari na bomu utadhani yupo kwenye harusi vile hatikisiki ametulia tuu,inawezekana vipi?? alafu anasema uki angalia ile video unamuona mbunge wa pale ARUSHA na hajali yupo tu kashika boksi la pesa na kiongozi wake.

*** MWIGULU pia anasema kama waliweza kumvalisha kijana wa watu nguo za jeshi wapige nae picture na kisha wakamwacha amefungwa gerezani familia yake wanahangaika watashindwaje kumvalisha askari nguo za polisi alafu wamtume akalipue, ameyasema haya huku mawaziri ,waziri mkuu na wabunge wa ccm wakionyesha sura za furaha na wakipiga makofi kwa nguvu sana kama ishara ya kukubali utetezi ule.

AMETOA KAULI TOFAUTI ZINAZOPINGANA MOJA MARA WATU TOKA NJE WENYE WIVU NA AMANI YETU,MARA UGENI HIVYO WATU WA NJE WANATAKA KUZUIA ,MARA CHADEMA , sasa wenye akili na weleu wanamuuliza Kwani yeye ameambiwa Ile video ilirekodiwa na kifaa gani mpaka aseme ilikuwa imetulia sana?? au ana utalaamu na video?? ,lakini kwanini aseme CHADEMA watakuwa wamemvalisha mtu nguo za askari polis ili waseme ni polisi amejuwaje kavaa nguo za polisi?? kwani amesha iyona hiyo video ?? Nadhani ataumbuka kama CHAGONJA NA KAMUHANDA WALIVYOUMBUKA KWA USHAHIDI WA KIFO CHA MWANGOSI stay turned HAKI haiwezi kushindwa dhidi ya DHULMA,,,CHADEMA wako makini ndo mana umma una waaamini<

Ndugu yangu huyu Mwigulu alishawahi kuugua kichaa,ugonjwa ule unavyojua hauponi kabisa bali unatulia kwa mda tu,na sasa dalili zimeanza tena inabidi awahishwe tena hospitali
 
Mwigulu na akili zake zinamtosha mwenyewe wala si mtu wa kujadili kauli zake!
 
kwisha kaazi mwigulu mvivu wa kufikiri, ccm ni bora mkaelekezana la kusema kwani naona kama damu iliyomwagika ishaanza kuwafanya wehu mbele ya wapenda amani wa kweli.
 
Nina kila sababu ya kulichukia jeshi la polisi na serikali ya ccm
 
Bomu limetengenezwa China- Pinda
Mwigulu anavaa kofia aliyo pewa China
Unganisheni dots.
 
Tukikaa kuzungumzia Chadema tuuu katka haya matatzo yanayojitokeza tutafika kubaya swala ni kupatikane ufuatliaj wa kina ili kama n Chadema wajulikane na matukio hayo yazuilike mapeema na sii kueneza propaganda za chama na hali watu wanapotea
 
Back
Top Bottom