herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,141
- 4,721
Salaam
Kiukweli kama taifa, hatumwelewi kabisa huyu waziri wetu Mwigulu. Inaonekana hajali chochote kinachoendelea chini yake juu ya usalama wa Raia.
Yani ni kama alilazimishwa kuwa waziri hivyo ameamua kususa fanyeni mnavyotaka.
Mbona nchi yetu imekuwa hivi? Mwigulu mwenyewe ajiulize Je hii ndiyo Tanzania tunayoitaka?
Kama viatu ni vikubwa, si avivue tu.
Mwigulu unatusikitisha sana tuliokuwa tunakuamini.