Mwigulu acha mbwembwe hizi ni siasa

Mwigulu acha mbwembwe hizi ni siasa

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,166
Reaction score
47,887
Waziri mkuu ambaye wanasema Ila Mimi upatikanaji wako Mwigulu Nchemba sioni kama ni halali,

Kuna jambo la msingi! Bado dogo we ni mchanga sana ! Punguza makeke

Mwaka 2028 tunaweza kuwa tuna tweet au ku post mengine kabisa kukuhusu ni kaonyo tu nimekudokeza

Britanicca
 
Waziri mkuu ambaye wanasema Ila Mimi upatikanaji wako @Dr mwigulu nchemba sioni Kama ni halali,

Majivuno yamemzidi sijui kwanini hajifunzi kwa watangulizi wake. Hata aliyemtua nadhani anajilaumu sema naye ni wale wale.
 
Waziri mkuu ambaye wanasema Ila Mimi upatikanaji wako @Dr mwigulu nchemba sioni Kama ni halali,

Kuna jambo la msingi! Bado dogo we ni mchanga sana ! Punguza makeke

Mwaka 2028 tunaweza kuwa tuna tweet au ku post mengine kabisa kukuhusu ni kaonyo tu nimekudokeza

Britanicca
Kumbuka, utotoni wakati akichunga ndama wa baba yake, alipigana vikumbo na simba na chui, lakini nao hawakumfanya kitu!
 
Waziri mkuu ambaye wanasema Ila Mimi upatikanaji wako Mwigulu Nchemba sioni kama ni halali,

Kuna jambo la msingi! Bado dogo we ni mchanga sana ! Punguza makeke
Mkuu Burita, britanicca, mtu hata akiwa ni bwana mdogo kwako, lakini akiisha pata madaraka ya juu, kati ya wale wakuu 4 wa nchi hii, hata kama ni bwana mdogo, huwezi kumuita dogo!. Hata mimi kwangu, huyu ni bwana mdogo sana, alikuja pale Ilboru miaka mingi baada ya sisi kaka zake kumtangulia, ila siwezi kumuita dogo!, jina la dogo ni la kudogosha!, huwezi kumdogosha PM kwa kumuita dogo!.
Mwaka 2028 tunaweza kuwa tuna tweet au ku post mengine kabisa kukuhusu ni kaonyo tu nimekudokeza

Britanicca
Pili Burita, waambie hao jamaa zako, hizi mambo waache!, kwa haya wanayowafanyia watu na kupanga kutaka kumfanyia, wakumbuke wakifika kule, wao watafanywa kuni!.
Pasco huyu hukumtabiria ama?[emoji2] .
Hata mimi.nakubali.aliongea vizuri. Ila alikua muoga kwenye ishu ya ufisadi. Hakua jasiri kabisa
Baada ya kumkosa huyu kwenye urais, sasa natupa karata yangu kwenye Uwazi Mkuu!.

Pasco
Hapa najiogopa!, click hii post uone niliiandika lini!, hii statement niliiandika kwenye uzi huu Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! na inawezekana, hata huyu mwana jf mwenzetu mwenyewe, @dr mwingulu Nchemba, mwenyewe wala hajui kuwa hata huo uwaziri mkuu, ameupata kwasababu kuna watu wenye kauli umba, walimuumbia huo uwaziri mkuu, kwa kumnenea, ndipo ukaumbika!.
Kwa wasiojua kuhusu kauli umba, karibuni mitaa hii "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia

P
 
Mkuu Burita, britanicca, mtu hata akiwa ni bwana mdogo kwako, lakini akiisha pata madaraka ya juu, kati ya wale wakuu 4 wa nchi hii, hata kama ni bwana mdogo, huwezi kumuita dogo!. Hata mimi kwangu, huyu ni bwana mdogo sana, alikuja pale Ilboru miaka mingi baada ya sisi kaka zake kumtangulia, ila siwezi kumuita dogo!, jina la dogo ni la kudogosha!, huwezi kumdogosha PM kwa kumuita dogo!.

Pili Burita, waambie hao jamaa zako, hizi mambo waache!, kwa haya wanayowafanyia watu na kupanga kutaka kumfanyia, wakumbuke wakifika kule, wao watafanywa kuni!.
P
P naona wembe umegeuziwa upande wako na unayaona makali yake sisi tulikatwa nao huko nyuma tulilalamika.mkasema.vijeraha vidogo tu hiv mnaliaaa leo umeguswa nao tu kelele had mtaa wa pili nadhan unaelewa nn maana ya uchawa sasa
 
Ni vile tu tz hatujawa siliazi kiazi kama kile kuwa waziri mkuu aisee ni aibu
 
Waziri mkuu ambaye wanasema Ila Mimi upatikanaji wako Mwigulu Nchemba sioni kama ni halali,

Kuna jambo la msingi! Bado dogo we ni mchanga sana ! Punguza makeke

Mwaka 2028 tunaweza kuwa tuna tweet au ku post mengine kabisa kukuhusu ni kaonyo tu nimekudokeza

Britanicca
Ni nani "upatikanaji wake" katika serikali hiyo HARAM ni "halali"?

Sasa tusubiri ya "Mwigulu 2028"; kwa nini unataka tuvumilie haram wakati wote huo?
 
Back
Top Bottom