Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,397
Mwigizaji Stevie Lee ambae alinogesha sana filamu za Jackass 3D na Death Match amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 54.
Stevie Lee ambaye pia ni Mwanamieleka Los Angeles Marekani amefariki baada ya kuugua maradhi ya moyo, ameacha Mke na Watoto.
#RIPStevie
Stevie Lee ambaye pia ni Mwanamieleka Los Angeles Marekani amefariki baada ya kuugua maradhi ya moyo, ameacha Mke na Watoto.
#RIPStevie