Mwigamba: Nakuhurumia Zitto Kabwe

Hakika Mwigamba alilubuniwa na Zitto baada ya kusoma ujumbe huu, kumbe Zitto ni Kizito anaweza badilisha misimamo ya wanaompinga!!, Mwigamba CHADEMA ipotezee tu, ondoka swetwani mkubwa tuachie chadema yetu
 
Hakika Mwigamba alilubuniwa na Zitto baada ya kusoma ujumbe huu, kumbe Zitto ni Kizito anaweza badilisha misimamo ya wanaompinga!!, Mwigamba CHADEMA ipotezee tu, ondoka swetwani mkubwa tuachie chadema yetu

Hakika sitashangaa MWIGAMBA akiondoka ACT .
 
Njaa imeondoa akili yote ya Samson Mwigamba ! na akae akijua kwamba laana ya usaliti itamtafuna mpaka kaburini , poor Mwigamba umevuna ulichopanda !
 
wasaliti walikuwa wanapeana ushauri.
 
Huu ni unabii unatimilika SHIMO ALILOCHIMBA AMEDUMBUKIA MWENYEWE
 
aliwahi kuja jimboni kwetu tukampitisha kuwa mgombea lakini baadaye akatusaliti baada ya kuhongwa na limbu . mpuuzi sana Huyo msaliti
 
Hakika fedha inauwezo mkubwa wa kuharamisha halali kwa wasio na msimamo.Fedha asili ya usaliti na nguzo ya kutia upofu wa kifikra.
 

Prof Kabudi Paramagamba aliwahi kusema katika jukwaa la katiba mpya kwamba mjinga ni yule mtu ambaye alikuwa hajui jambo au analijua tofauti na anapoelimishwa akaelewa anabadilika na kuchukua mtazamo sahihi, ila mpumbavu ni yule mtu ambaye hata akielimishwa hatabadilika wala hataki kubadilika.

Probably Mwigamba alieleweshwa akaelewa na sasa amebadilika.

Mimi nasema wasaliti hawataisha kwenye chama, yeyote anayetaka kuingilia interest za wamiliki, kwa hiyo ili uendelee kusurvive lazima uplay underdog style.
 
Dah!!! kichwa kinaniuma Mwigamba + Zito = Prof. Kitila Mkumbo. wasaliti ni hatari sana hongera Chadema mko makini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…