mwiba wa kujichoma!

Ayatollah the Bird

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2026
Posts
342
Reaction score
730
kipind nipo chuga nlikuwaga na det mwanachuo.dada huyu nilimpenda kweli mno. nilikuwa namlipia kodi, nikamnunulia tv,fridge,subwoofer na vitu vingine vingi mno. penzi letu lilidumu kama mwaka hiv.demu alibadilika ghafla akanichana ghafla vuh! akawa simu hapokei na akipokea anatoa kashfa tupo kumbe ana mtu. nilijiona fala mno nilipanga kufanya tukio ila niliona bora nikubaliane na matokeo. japo nilimuamini ila nilijua miba wa kujichoma hauambiwi pole.
 
wanawake asilimia kubwa wanaendeshwa na hisia na tamaa mbele always wanachagua mtu Bora zaidi ya aliyopo.
 
Wewe mwenyewe unalala gheto na panya unaenda kumfanyia mwenzio shopping, lazima akuone fala..!!

Huo mwiba ilitakiwa ukuchome kalio kabisaa..!!
 
Upendo hauna bei
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…