Mzee wa kurekebisha
Senior Member
- Sep 29, 2012
- 178
- 169
JF Naipenda sana ndio maana nimeamua kuanza Eng. Cz, maana mara utasikia umeme wa Stigliers, FOREX n.k watu wanachanganya Lugha humu ndani si Mchezo hii ishu ya FOREX ndo imenipa hasira zaidi.
Mpaka leo hakuna nilichoelewa nikifungua google ni kiingereza tu nasikia watu wanapata pesa huko.
Kile kingereza nilichofundishwa na mwalimu MKILANYA hakijaweza kunisaidia kabisa.
Now I'M comming and I'M going to be better in any discussion.