AKAN JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 1,135 Reaction score 1,144 Jun 22, 2023 #41 Huu uzi una bias....
chendelela JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 1,145 Reaction score 1,010 Jun 22, 2023 #42 Depal said: DP World Tanzania tayari Click to expand...
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,159 Reaction score 6,574 Jun 22, 2023 #43 lulu za uru said: Halafu tar zikikaribia Msg za bank zinaingia unafungua haraka haraka kumbe wanakupa matangazo yao...siyo msg ya mshahara weeee usiombe Click to expand... Yani hizo msg zinaniuzigi hizo we acha tu...
lulu za uru said: Halafu tar zikikaribia Msg za bank zinaingia unafungua haraka haraka kumbe wanakupa matangazo yao...siyo msg ya mshahara weeee usiombe Click to expand... Yani hizo msg zinaniuzigi hizo we acha tu...
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,159 Reaction score 6,574 Jun 22, 2023 #44 Carasco Putin said: NBC TAYARI Click to expand... Kama ni kweli basi crdb wanazingua sana yani wao kila mara wanachelewa tu... hawajui kuwa watu tuna madeni kibao
Carasco Putin said: NBC TAYARI Click to expand... Kama ni kweli basi crdb wanazingua sana yani wao kila mara wanachelewa tu... hawajui kuwa watu tuna madeni kibao
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,298 Reaction score 89,409 Jun 22, 2023 #45 MasterP. said: Kama ni kweli basi crdb wanazingua sana yani wao kila mara wanachelewa tu... hawajui kuwa watu tuna madeni kibao Click to expand... CRDB ya kiwaki. Bado ata hapa.
MasterP. said: Kama ni kweli basi crdb wanazingua sana yani wao kila mara wanachelewa tu... hawajui kuwa watu tuna madeni kibao Click to expand... CRDB ya kiwaki. Bado ata hapa.
The humble Man Member Joined Mar 26, 2023 Posts 22 Reaction score 36 Jun 23, 2023 #46 Haya mti mmkavu ushapokea huko?
Mti mmkavu Member Joined May 24, 2023 Posts 36 Reaction score 68 Jun 23, 2023 Thread starter #47 MasterP. said: Kama ni kweli basi crdb wanazingua sana yani wao kila mara wanachelewa tu... hawajui kuwa watu tuna madeni kibao Click to expand... Mkuu hali ikizidi kubana, familia inasikitika muda wote na miguu inazidi kufa ganzi wasitufanyie hivyo waungwana hawa
MasterP. said: Kama ni kweli basi crdb wanazingua sana yani wao kila mara wanachelewa tu... hawajui kuwa watu tuna madeni kibao Click to expand... Mkuu hali ikizidi kubana, familia inasikitika muda wote na miguu inazidi kufa ganzi wasitufanyie hivyo waungwana hawa
Mti mmkavu Member Joined May 24, 2023 Posts 36 Reaction score 68 Jun 23, 2023 Thread starter #48 The humble Man said: Haya mti mmkavu ushapokea huko? Click to expand... Mambo bado ila kuna fununu labda leo π€π€π€
The humble Man said: Haya mti mmkavu ushapokea huko? Click to expand... Mambo bado ila kuna fununu labda leo π€π€π€
Kila Mbongo JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 320 Reaction score 489 Jun 23, 2023 #49 CRDB tayari.
Mti mmkavu Member Joined May 24, 2023 Posts 36 Reaction score 68 Jun 23, 2023 Thread starter #50 Kila Mbongo said: CRDB tayari. Click to expand... Ngoja niwahi haisee π mama anaupiga mwingi
The humble Man Member Joined Mar 26, 2023 Posts 22 Reaction score 36 Jun 23, 2023 #51 Mti mmkavu said: Ngoja niwahi haisee π mama anaupiga mwingi Click to expand... Utaleta update ya NMB, tuwakabe tunaowadai kabla hawajamaliza
Mti mmkavu said: Ngoja niwahi haisee π mama anaupiga mwingi Click to expand... Utaleta update ya NMB, tuwakabe tunaowadai kabla hawajamaliza
DUBULIHASA JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 5,587 Reaction score 10,281 Jun 23, 2023 #52 The humble Man said: Utaleta update ya NMB, tuwakabe tunaowadai kabla hawajamaliza Click to expand... Hahaaaa
The humble Man said: Utaleta update ya NMB, tuwakabe tunaowadai kabla hawajamaliza Click to expand... Hahaaaa
B BabuMkubwa JF-Expert Member Joined Feb 11, 2017 Posts 2,464 Reaction score 3,641 Jun 23, 2023 #53 NMB tayari sasa hivi
Mti mmkavu Member Joined May 24, 2023 Posts 36 Reaction score 68 Jun 23, 2023 Thread starter #54 Hayaaaa π€£π€£π€£
The humble Man Member Joined Mar 26, 2023 Posts 22 Reaction score 36 Jun 23, 2023 #55 BabuMkubwa said: NMB tayari sasa hivi Click to expand... Sidhani, hauko serious
Mti mmkavu Member Joined May 24, 2023 Posts 36 Reaction score 68 Jun 24, 2023 Thread starter #56 Wazee wa vikao hizi tarehee mtuachee π€£π€£π€£ mibuyu inaanguka tii