The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,581 Reaction score 7,252 Nov 13, 2016 #1 Wadau , Nimekuwa najiuliza hivi kwanini vichaa wengi hata baadhi ya wagonjwa wa kifafa ukiwa mwezi Mchanga hucharuka kweli kweli?
Wadau , Nimekuwa najiuliza hivi kwanini vichaa wengi hata baadhi ya wagonjwa wa kifafa ukiwa mwezi Mchanga hucharuka kweli kweli?
sajumo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,834 Reaction score 1,059 Nov 14, 2016 #2 hakika mkuuna mm nasubir jibu ili niweze ongeza knowledge yangu hiv mwez ukiwa mchanga unasababisha mechanisms gani ambzo huafect ubngo wa vichaaa
hakika mkuuna mm nasubir jibu ili niweze ongeza knowledge yangu hiv mwez ukiwa mchanga unasababisha mechanisms gani ambzo huafect ubngo wa vichaaa
R Mbuna JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 2,295 Reaction score 5,458 Nov 14, 2016 #3 πππ