Mwezi huu umeenda kasi sana

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,920
16,199
Gafla mchupi wa Nandy huu hapa ujatulia vizuri mara Diamond huku nywele original kule wigi hujakaa vizuri unasikia trilioni 1.5 gafla Kiba katuletea chombe kutoka Mombasa hujatulia unamsikia mzee Wenger ametangaza kustaafu hujanywa maji yakatulia mara unasikia Masogange karest in peace na msambwanda wake

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
 
Mara Makondakta anataka wanaume watiwe vidole nyumba hadi nyumba
 
Back
Top Bottom