Mwezi gani watu wanaingia chuo?

Mwezi gani watu wanaingia chuo?

Hiii inatoka na mwongozo wa chuo chenyewe baadhii vinafungua wa10 na vingine wa 10 mwishoni kama udom na sua lakn first year lazima wawahi kuliport kama udsm wataripoti tarehe 8 mwezi wa kumi vingine tarehe 17 first year
 
Kila chuo na ratiba yake,mfano MUHAS freshers wanaingia 22nd October na orientation inaanza 24th October
 
Kila chuo kinaratiba yake so vijana msiwe na mchecheto tembeleeni kwenye web ya chuo chako husika ulipopangwa mara kwa mara ila kwa wana UDOM first year mjiandaye tarehe ya kureport ni 29/10/2016
 
Sasa ole wako uende november wenzio wakiwa tayari washafanya reg na imefungwa. Ndo utajua nobody can stop reggae.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunasema hapo ndipo atakapoanza kunena kwa lugha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunasema hapo ndipo atakapoanza kunena kwa lugha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ataongea kihindiswahilinglishpanish.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Madogo hawa bana. Wanahisi chuoni ni sekondari wanakofuata ratiba ya mkoa au taifa. Utakuta aliyesema november ni wa let's say mzumbe halafu na wa udsm anakubali.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] aisee... anyway... madogo nendeni tu mwezi november kama mnavyoshsuriana tena msisahau matranka na uniform[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ila kitakachowakuta msinihusishe tafadhali.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji117] [emoji13]
 
Bugando watareport tar 1-2/October, MUM ni tar 3-9/October.
 
Back
Top Bottom