Habari zenu wadau
ningependa kufahamu ni kitu gani huwa kinasababisha mwezi huu kupisha idadi ya tarehe kwa kila mwaka mfano 2014 siku zilikua 28
wakati miaka mingine unaweza kuta siku 29.,
Umemjibu vizuri lakini hajakuelewa, ngoja nikusaidie.
Mwaka mmoja unakua na siku 365 na robo (yaani masaa 6) kwahiyo mwaka unaofata utakua na siku 365 na masaa 12 na mwaka wa tatu yake utakua na siku 365 na masaa 18 mwaka wa nne yake ni siku 365 na masaa 24 (24hrs = 1day) kwaio mwaka wa nne ni siku 366, ndio inayoingia kwenye February na kua siku 29