Mkuu KweliTupu..hii kazi ilitangazwa, na watu wakaomba na walokuwa shortlisted walihitwa interview, BTW hii habari sio rasmi maana TFF haijatangaza safu yake mpya..
Kama ccm chama cha mizigo automatically Yanga nayo ni ya miziko na kwa kuwa yanga ndo wako tff tutegemee chama cha msoka mzigo kama natani matter of time will tell us ukishaona mwenyekiti na katiba yanga na kama ulimwangalia Rais tff uso haukufurahi wakati simba 3 Okwi 1 ujue tff ni chama cha mizigo

unaweza kua bosi sehem,mfano tuseme mjaluo,ukawateua watu wote wa chini yako kwa vigezo vyao vya elim kwa mfano,mwisho wa siku mko mia ofcn wote wajaluo ila mna sifa za hyo kaz,kikanuni mko sawa ila lazma watu watahoji iweje muwe wote wajaluo.