Mwenzenu nimeumbuka jaman!

Teh uyo dada ka namfaham, anyway apo fungua zipubtena mpo kweny mahindi
 
Huyo mwanaume ameonesha udhaifu wake kwa huyo Dada na ukamilifu wake kwake yeye mwenyewe.
 
ndiyo upo kwa wakwe unaweza kunyimwa mke...
 
Umeumbuka nn sasa wakati mko kwenye mahindi.hapo unapiga ngwara tu
 
Kawaida sana kwa tuliokamilika. Kwa hilo kumbatio lazima akili ya kichwa cha chini ya boxer icheze tu.
 
Umeumbuka wakati umeonesha uanaume "mashineni"?Siku hizi ukienda kuoa unatakiwa uwe "kamili gado kiumeni"!Usije mrudisha mwali nyumbani kwao "hatapiki"!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…