Z K Ahmad
Member
- Mar 16, 2019
- 29
- 36
Ninachohitaji kumaanisha hapa Ni kuwa watu Wengi wamekuwa wakikosa matumaini kutokana na Mambo kadhaa yanayowaandama Kwenye maisha yao.
Huwapelekea mahala kukata tamaa yakuendelea na Mapambano_.
Kuna Kijana mmoja , alikuwa ni muumin ialiezaliwa katika dini ambayo kwa uwiano wake ndo sinj yenye kuamrisha mengi mazuri na dini ambayo huko ndipo hufundindwa (Mwenyez Mungu mmoja na asiekuwa na mshirika)
Yule Kijana baada ya kuhangaika mno, kupambana sana alitambua kuwa mwenyez Mungu ndio wakumlilia na akafanya Maamuzi ambayo licha ya imani yake inayumba Kuna wakati lakini kwenye suala la kumkabidhi na kumlilia mwenyez Mungu amtatulie matatizo yake alikuwa yupo vizuri (Believing in The One)
Siku moja aliketi nakumlilia Mola wake Nusu saa mida ya usiku tulivu huku akifanya ibada na maombi Kama inavyoelekezwa Ibada za usiku tulivu pasina bugudhi yoyote.
Kisha Alipomaliza akaingia kitandani na kulala.
Baada ya kulala, kutokana na maombi mengi aliyoyafanya ikiwemo Moja aliomba mwenyezi Mungu amuoneshe wazazi wake wakiwa wote na wenye Furaha kwakuwa aliwamisi Sana (Kwa muda alikuwa akiishi nao mbali)
Mwenyezi Mungu Alijibu ombi lake Hilo na Akiwa Ndotoni alioteshwa Akiwa kwenye Bustani Nzuri Yenye maua na wazazi wake walijawa na Furaha Sana wakiwa pamoja.
Lakini pia alikuwa akiomba Sana ajue Hatma ya maisha yake baada yakuhangaika sana.
Je? Unajua Ni Ndoto gani Mola wake alimuonesha Yule Kijana.
Aliota Akiwa Sehemu yakufanya ibada na akielekezwa na mtu asiemfahamu juu yakutanya Ibada kwa usahihi_ Kisha Yule mtu akamwambia Nenda Kerejee katika kitabu Kitukufu (Qur'an- Surat Dhuha) baada ya hapo aliota Zaidi Kila alichoomba hatimae ikafika asubuhi.
Alipoamka alianza kukumbuka Ndoto mojamoja na Alipokumbuka kuhusu Kurejea (Surat Dhuha) Alichukua Simu nakuandika Tu Pembeni ))Surat Dhuha (( na Hakuchukua Hiyo hatua Mpaka Ulipowadia wakati ambao Allah alimjaalia ufahamu wakufuatilia Alichoambiwa Akarejee.
Baada ya Kurejea Machozi yalimlenga nakuendelea kujipa moyo.
Mpaka ilipofika siku Mwenyezi Mungu Alipojaalia Ombi la Mja wake Kuwa Kama Alivyomuahidi.
Don't Loose Hope