Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Rukwa akamatwa kwa wizi wa mafuta

Sikushangaa nlivyoona "mwenyekiti wa chadema" hapo atalaumu watu hawakumtonya.

Chadema fans and members are too locals. Utaona anakuja msukule hapa kumtetea.
Mkuu six,
Nasikia mikoani wanachadema wameamua kutumia njia za wizi kupata pesa hasa kwa viongozi ili waunde kambi za kumnusuru mbowe kuangushwa na zitto make makao makuu hawapeleki hela mikoani kazi kweli.
 
Mkuu six,
Nasikia mikoani wanachadema wameamua kutumia njia za wizi kupata pesa hasa kwa viongozi ili waunde kambi za kumnusuru mbowe kuangushwa na zitto make makao makuu hawapeleki hela mikoani kazi kweli.

Hahahahaa, mbavu zangu hawapewi "mtonyo"
 
Kama itathibitika uyo mwenyekiti amefanya ilo tukio atahukumiwa kwa mujibu wa sheria. Yeye ni binadamu si malaika sitashangaa kama itathibitika kaiba kweli,pia itakuwa imewarahisishia CDM kumfuta kazi mara moja hasa ukizingatia chama kiko kwenye zoezi la kuondoa mamluki. ila kinachonisikitisha ni kwamba haya matukio ni ya upande mmoja tu. Ukiwa mpinzani hata ukituhumiwa kutoa hewa chafu,utakamatwa mara moja kwa mahojiano ila kule upande mwingine,wanabaka, wanauwa tembo wetu,wanatorosha mabilioni nje,wanaua na kutesa waandishi ma wanaharakati. Japo zinaweza kuwa ni tuhuma tu lakini mbona hatuoni wakikamatwa kuhojiwa? kama inavyofanywa kwa hawa wa upande wa pili.Tafakari,chukua hatua....
 
Hii tabia ya chadema kuiba haitaisha ni asili yao wengine wanaiba simu,wengine magari,wengine pesa,wengine wake za watu.
 
Mbona hujaandika huyu anayehusika na Pembe za Ndovu au kwa kuwa ni kada mwenzako?
Mafuta anaweza kulipa na tofauti ba huyu jangili mkubwa.

kwa nn unamtetea mtu kama huyu? CHADEMA-ni chama cha demokrasia na maendeleo, kuwa na mtu kama huyu anayerudisha nyuma juhudi za maendelea ni usaliti mkubwa kwa katiba ya chama, Taifa na wanachi wa Tanzania kwa ujumla wake. Lazima awajibishwe. Hakuna usaliti mkubwa na mdogo, usaliti ni usaliti tu. Au ndo hawezi kuwajibishwa kwa sababu ni mtu Mwenyekiti?
 
Nasoma post nyingi humu nabaki nacheka badala ya kusikitika! Inaonekana wapo watu humu wamepewa kazi ya kushinda hapa JF kutwa kutetea hata mambo ambayo ukimsimuli kichaa hawezi kukuelewa,sijui wanalipwa ujira wa kiasi gani hadi wanafikia hatua ya kuuza utu wao.Kweli JK amewaweza kwa kushindwa kuzalisha ajira ml.1 alizowaahidi...
 
Mbona Idd Azan anapiga sembe na cku zinasonga?hukumsikia yule kigogo wa CCM Dar alivyomchana live,huyo jamaa angekuwa CCM angeambiwa arudishe yaishe.Mbona ccm kuna wafungwa wastaafu wa wizi km Rage?hapo cjazungumzia wabakaji km prof na Mahita!
 
Huyu Mwenyekiti anafuata misingi ya chama kutoka kwa kina Lema.

ni kama ile misingi aliyoamua kuifuata mbakaji kapuya iliyowekwa na macc kupitia naibu katibu mkuu wake "mzee wa kufumaniwa na wake za watu" a.ka. nchembe kubwa jinga.
 
Simiyu ubongo wewe unao au? Nani kabaka,jangli,madawa ya kulevya,rada kwa kaka yako huko asee wewe kweli -------- wala
 
Back
Top Bottom