Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
Katibu wetu nimekubamba
Kumbe mwanasiasa ww
hii wanajamvi
hv huyu jamaa anaeitwa Bakar Shingo kunayeyote anayeweza nipa details zake maana amejaza watu balaa yan kama mkutano wa rais vile
wana gongo la mboto wanamuitwa "rais wa goms"
Heading isomeke mw/kiti Chadema G/mboto
je wna gongo la mboto wanajua maana na asili ya jina la eneo hilo?
nawapa siri leo.
Gongo la mboto maana yake ni eneo la kunywea gongo iliyokuwa ikipikwa hapo kwa mzee mboto , yaani alikuwa anapika ya viwango na namna mbali mbali ili kukidhi mahitaji ya wateja wake , sasa sijui kawarithisha na wakaazi wake wa kizazi hiki ....
back to square A , huyu jamaa naweza muita kuwa ni "orator" kwani anao uwezo mkubwa wa kujieleza, kujenga hoja na kushawishi watu kwa kiasi kikubwa, wana gomzi tumpe nafasi .
mbowe alimtimua baada ya kuligundua hilo
sasa saa hizi anapiga kazi kwa ri chama gani ra upinzani?
CUF
ila kagombea via UKAWA
Bakar Shingo alifukuzwa CHADEMA na Mbowe baada ya kuanza kuuliza maswali magumu kuhusu Saccos. Wakaona ana uwezo wa kujenga hoja hivyo angesanua wengi akatimuliwa.