Chabruma
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 5,660
- 1,780
Kwa zaidi ya wiki sasa, Mbunge wa Hai, Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa UKAWA, Freeman Mbowe hajaonekana Bungeni. Jimboni kwake Hai wanamtafuta ili awape mrejesho wa yale waliyomtuma akaseme Bungeni. Ofisini kwake Kinondoni, Mtaa wa Ufipa hajakanyaga kwa zaidi ya wiki mbili sasa.
Kwa mara ya mwisho alionekana Kanda ya Ziwa ambako alisambaratishwa na polisi baada ya kufanya mkutano usio na kibali cha polisi.
Taarifa za ndani zinasema kuwa Freeman Mbowe amekimbia aibu ambayo wabunge wa UKAWA wanapata kutokana na kumgomea Naibu Spika. Inaelezwa kuwa kazi ya kuongoza UKAWA kwa sasa kamwachia James Mbatia ambaye inaonekana dhahiri kwamba kabebeshwa zigo la misumari na kokoto.