Kwanza JokaKuu huwa nawashangaa watu hasa upande wa CDM kuwa kulala ni ajenda kubwa ktk mikutano, kwani tatizo nini! kama kulala nijambo la kidina dam kama mchoko fulani tena si kila siku ama kila wakati, uwe CDM au CCM kulala haihusishi chama, Mlikuwa mkimpamba LOWASSA saana wakati mkifaham kiafya nibora hata hao wanao lala, Na si kuwa tunamsema Lowassa kwakuwa tu kajiunga na CDM rahasha huyu amekuwa na mjadala wa kiafya tangu yupo CCM, wakati huu nikuangalia kazi za mtu yaani MATENDO YAKE KTK JAMII
Hii picha ni ya kutengenezwa, Maani ninaona wengine wote walio katika huo mkutano wamevaa sare za chama lakini jamaa pekee ndio amevaa nguo za kawaida. Halafu jinsi anavyoonekana ni kama vile hana mikono. Hii ni picha ya kuunga unga.