Mwenyekiti wa CCM

Mwenyekiti wa CCM

kitero

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
563
Reaction score
110
Kwa mojibu wa katiba ya CCM raisi wa nchi ndiyo mwenyekiti wa CCM taifa.Tuumize kichwa kidogo je! Ikitokea mh Magofuli akaukosa uraisi mwenyekiti atabakia yuleyule au atakuwa magofuli?
 
atachaguliwa mwingine, by the way huu si muda wa kuwajadili, wameexpire
 
Kwa hiyo jk ajiandae kuwa kama akina mrema,dovutwa,rashidi,sipati picha atakapokuwa anaenda ikulu kunywa juisi
 
Hakuna Swali la kuumiza kichwa hapo! Magufuli akiukosa Urais Mwenyekiti wa SISIEM Taifa ataendelea kuwa Jk.
 
Hayo ndo madhara ya kutengeneza kanuni za kudumu ambazo haziendani hali ya sisa ya nchi. CCM hawakuona mbele....
"PUA IKIOZA HAINUSI TENA"
 
Back
Top Bottom