Mwenyekiti wa BAVICHA anapwaya

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,276
Huyu Mwenyekiti wa BAVICHA amekuwa mkimya mno siyo kama John Heche,harakati zake hazionekani kabisa.

Nadhani viatu alivyovaa ni vikubwa mno.Nafasi aliyopata hakustahili labda alikuwa na malengo yake
 
Anapwaya mno tena sana, bavicha hii si ile ya heche, hana mpango kazi wenye tija
 
Hivi hakuna namna ya kufanya upya uchaguzi? Au kwa nini haka kajamaa kasijiuzuru? Heche hakuandaa mrithi wake?
 
Back
Top Bottom