Ally mvano
Member
- Jul 31, 2014
- 73
- 24
Aliyekuwa m/k wa Chadema Mkoa wa Kigoma na baadae kihamia Act Mzee jafari Kasisiko amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na wanakijiji huko mgambo,wakati akihutubia na kuitukana Chadema .
Ni wakati muafaka kwake kupumzika siasa. Hizi si zama za kina mzee Kasisiko tena.Aliyekuwa m/k wa Chadema Mkoa wa Kigoma na baadae kihamia Act Mzee jafari Kasisiko amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na wanakijiji huko mgambo,wakati akihutubia na kuitukana Chadema .
Wanajua kuzomea tu?
Usishangae wala hawajajiandikisha na hawako tayari kwenda kupiga kura...
acha uongo
Huo ni uzushi wa cdm kuzomewa wazomewe wao waseme act
ndo hivyo act inakata roho