Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe afungua kesi ya kikatiba dhidi ya RC Makonda

BAKOI

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,211
2,328
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Aikael Mbowe (MB) leo tarehe 10 February 2017 amefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalumu DSM na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu Dsm.

Kesi hiyo ilisajiliwa kama Kesi ya Kikatiba namba 1 ya 2017 imefunguliwa kwenye Mahakama ya Kuu masijala ya Katiba (Masijala Mkuu).

Kwenye Kesi hiyo Mbowe anaomba Mahakama Kuu itamke na kuwa Mkuu wa Mkoa hana mmalaka ya kudharilisha, na kukamata.
Mbowe pia ameiomba mahakama itengue vifungu vya 5&7 vya Sheria ya Tawala za Mitaa kwakua ni batili na vinakiuka haki za kikatiba.

Katika kesi hizo Mbowe atawakilishwa na Mawakili toka Kurugenzi ya Katiba Sheria na Haki za Binadamu ya CHADEMA.
 
Freeman Mbowe amefanya jambo la maana sana siamini mahakama katika wakati huu katika kutoa maamuzi .Mkuu wa Mkoa anajifanya kuwa madaraka makubwa kuliko Waziri Mkuu nashindwa kuelewa Makonda anajua madhara ya anachokifanya kwa sasa?
 
Breaking News........

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Aikael Mbowe (MB) leo tarehe 10 February 2017 amefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalumu DSM na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu Dsm.

Kesi hiyo ilisajiliwa kama Kesi ya Kikatiba namba 1 ya 2017 imefunguliwa kwenye Mahakama ya Kuu masijala ya Katiba (Masijala Mkuu).

Kwenye Kesi hiyo Mbowe anaomba Mahakama Kuu itamke na kuwa Mkuu wa Mkoa hana mmalaka ya kudharilisha, na kukamata.
Mbowe pia ameiomba mahakama itengue vifungu vya 5&7 vya Sheria ya Tawala za Mitaa kwakua ni batili na vinakiuka haki za kikatiba.

Katika kesi hizo Mbowe atawakilishwa na Mawakili toka Kurugenzi ya Katiba Sheria na Haki za Binadamu ya CHADEMA.
Wote huo uoga wa kulala selo.Mbona anatumia nguvu nyingi kujificha?kuna nini?mbona wamiliki wenzake wa madanguro ya sea cliff na Q bar wamekwenda.
Mbowe amezoea kujificha kwenye kichaka cha mahakama,kila aonapo sheria inambana,kama vile ilivyokuwa kesi yake na NHC iliochukua miaka 10 kumalizika.
Nia ya mbowe ni kututoa tu kwenye reli,hajui anaitiwa nini anaweweseka,
Sasa hivi anaijua mahakama,wakati wafuasi wake kwenye chama chake cha chadema,ameweka kifungu kinachopiga marufuku wanachama wa chadema kutafuta haki yao mahakamani,ukienda umejifukuzisha chama,ajabu yeye leo kaona kaonewa kafungua kesi,tena kesi no.01 ya kikatiba.Hii ndio akili ya kiongozi mkuu wa upinzani ilipofikia hapa,akisaidiana na mawakili wake,wanakula tu pesa ya chadema kufungua kesi,ili wagawane ruzuku
 
Ni haki yake kikatiba kufungua kesi mahakamani lakini vile vile anadhibitisha ana imani na mahakama nchini kuwa zinatenda haki.

Angalizo:
Kama akishindwa kesi itakuwa vizuri kama hatakuja na porojo zinazosema, ''amri kutoka juu'' imeingilia mwenendo wa kesi.

Hii kadhia kwa waingereza wangesema, CHADEMA/Mbowe could be shooting himself in the foot!

CHADEMA wanakuwa kama chama kinachoingia kwenye siasa za Tanzania kutoka nje ya nchi.

Kesi kama hizi inatakiwa wawape wananchi nje ya chama wazifungue ili kuepuka aibu ya kisiasa pindi watakaposhindwa mahakamani.

CHADEMA hawakujifunza kwenye kesi ya kuzuia mkutano wao Kahama ambayo walifungua na kushindwa.
 
Ni haki yake kikatiba kufungua kesi mahakamani lakini vile vile anadhibitisha ana imani na mahakama nchini kuwa zinatenda haki.

Angalizo: Kama akishindwa kesi itakuwa vizuri kama hatakuja na porojo zinazosema, ''amri kutoka juu'' imeingilia mwenendo wa kesi.
Hamjui akili iliyotumika hapo, na lengo lake. Endeleeni kupuliza trumpets.
 
Wote huo uoga wa kulala selo.Mbona anatumia nguvu nyingi kujificha?kuna nini?mbona wamiliki wenzake wa madanguro ya sea cliff na Q bar wamekwenda.
Mbowe amezoea kujificha kwenye kichaka cha mahakama,kila aonapo sheria inambana,kama vile ilivyokuwa kesi yake na NHC iliochukua miaka 10 kumalizika.
Nia ya mbowe ni kututoa tu kwenye reli,hajui anaitiwa nini anaweweseka,
Sasa hivi anaijua mahakama,wakati wafuasi wake kwenye chama chake cha chadema,ameweka kifungu kinachopiga marufuku wanachama wa chadema kutafuta haki yao mahakamani,ukienda umejifukuzisha chama,ajabu yeye leo kaona kaonewa kafungua kesi,tena kesi no.01 ya kikatiba.Hii ndio akili ya kiongozi mkuu wa upinzani ilipofikia hapa,akisaidiana na mawakili wake,wanakula tu pesa ya chadema kufungua kesi,ili wagawane ruzuku
Vita ya MaKonda wenu haina mashiko..
Na ndio mana kati ya list yote ile wameenda wa 4 tu leo
Mbowe is very right.. Taratibu lazima zifuatwe.
Mtuhumiwa ana haki zake..
Wee vipi.. Upstairs mweupe nini??
 
Wote huo uoga wa kulala selo.Mbona anatumia nguvu nyingi kujificha?kuna nini?mbona wamiliki wenzake wa madanguro ya sea cliff na Q bar wamekwenda.
Mbowe amezoea kujificha kwenye kichaka cha mahakama,kila aonapo sheria inambana,kama vile ilivyokuwa kesi yake na NHC iliochukua miaka 10 kumalizika.
Nia ya mbowe ni kututoa tu kwenye reli,hajui anaitiwa nini anaweweseka,
Sasa hivi anaijua mahakama,wakati wafuasi wake kwenye chama chake cha chadema,ameweka kifungu kinachopiga marufuku wanachama wa chadema kutafuta haki yao mahakamani,ukienda umejifukuzisha chama,ajabu yeye leo kaona kaonewa kafungua kesi,tena kesi no.01 ya kikatiba.Hii ndio akili ya kiongozi mkuu wa upinzani ilipofikia hapa,akisaidiana na mawakili wake,wanakula tu pesa ya chadema kufungua kesi,ili wagawane ruzuku
Huelewi usemacho. Kesi hiyo ni msaada mkubwa kwa watu wengi ambao wanaathirika na jinsi wakuu wa wilaya na mikoa wasiojua ukomo wa mamlaka yao.
Nchi inatakiwa iongozwe na sheria na katiba
 
Back
Top Bottom