Pro-Chadema wana mambo ya kizamani sana sasa kuweka picha ya Mbowe na maghorofa ya Marekani ndio nini utadhani msanii wa bongo movie.
Hivi na wewe unaunga mkono SENSA? Kweli Tanzania imejaa wasalitiMwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, na Joseph Mbilinyi mbunge wa Chadema kuweni na uzalendo mnaondoka Tanzania mnaacha zoezi la sensa mnakwenda kufungua tawi Marekani.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, na Joseph Mbilinyi mbunge wa Chadema kuweni na uzalendo mnaondoka Tanzania mnaacha zoezi la sensa mnakwenda kufungua tawi Marekani.
Usijali mkubwa watahesabiwa hata wale walioko masomoni nje watahesabiwa, hata wale walioko kwenye matibabu Apollo India watahesabiwa, na yeyote yule mwenye familia ambaye ameaacha binadamu ndani ya makazi yake Tanzania atahesabiwa.
Tunahitaji takwimu za watu na makazi, kumbuka sensa inakwenda nyumba kwa nyumba sio mtu kwa mtu. Hakuna sensa duniani inayohesabu watu barabarani.
Kama una swali lingine au kuna ambacho hujakielewa usisite kuuliza tena Kamanda.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, na Joseph Mbilinyi mbunge wa Chadema kuweni na uzalendo mnaondoka Tanzania mnaacha zoezi la sensa mnakwenda kufungua tawi Marekani.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, na Joseph Mbilinyi mbunge wa Chadema kuweni na uzalendo mnaondoka Tanzania mnaacha zoezi la sensa mnakwenda kufungua tawi Marekani.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, na Joseph Mbilinyi mbunge wa Chadema kuweni na uzalendo mnaondoka Tanzania mnaacha zoezi la sensa mnakwenda kufungua tawi Marekani.
kheeee..sasa huyu na mwenyekiti wenu wa CCM nani wazalendo? Huyo JK aliondoka wakati wa mgomo wa waalimu mbona haukusema abaki na kuonyesha ukomavu a deal na hiyo kitu