baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
Kwa matokeo ya simba sc toka kuanza kwa ligi ni sababu tosha kwa mwenyekiti wetu kuachia ngazi,ila kama alingia katika uongozi kwa maslai binafsi basi ushauri huu utakuwa mgumu sana kuutekeleza.sababu viongozi wa staili hiyo hutumia pesa nyingi kupata uongozi,pale wanapoupata chakwanza uangalia matumbo yao.
Naamini mwenyekiti wetu simiongoni mwaviongozi waliopata madaraka kwa rushwa,na yupo simba kwa maslai binafsi.Naamini apatapo ushauri huu basi atakuwa tayari kuachia ngazi.ili wengine waongoze sababu anaitakia mema simba ila
kwa bahati mbaya ameshindwa kazi.
Huu ni wakati sahii wawewe kuachia ngazi,husingoje simba igawanyike makundi makundi,au kushindikizwa.itakuchakufua sana.
SIMBA DAIMA.. SIMBA OYEEEE
ngazi,nasi
Naongezea:Mkuu huu no mwendo wa 5!
Kumbuka yafuatayo:
Simba ina herufi 5
Phiri ina herufi 5
Imecheza mechi 5
Imedroo mechi 5
Imevuna point 5
Imefunga goli 5
Imefungwa goli 5
Hapo sasa mkuu!!!!!
Mkuu huu no mwendo wa 5!
Kumbuka yafuatayo:
Simba ina herufi 5
Phiri ina herufi 5
Imecheza mechi 5
Imedroo mechi 5
Imevuna point 5
Imefunga goli 5
Imefungwa goli 5
Hapo sasa mkuu!!!!!
itamaliza nafasi ya 5Naongezea Pia IMEWAHI KUIFUNGA YANGA MAGOLI 5 KWA SIFURI.
Mkuu huu no mwendo wa 5!
Kumbuka yafuatayo:
Simba ina herufi 5
Phiri ina herufi 5
Imecheza mechi 5
Imedroo mechi 5
Imevuna point 5
Imefunga goli 5
Imefungwa goli 5
Hapo sasa mkuu!!!!!
ha! Ha! Ha!,kaka nipe 5inapoelekea mtaanza kuchapana bakora tano tano.....
huyu phiri si ameishusha daraja timu ya watu huko zambia,ngoja aishushe na simba aweke rekodi nyingine
Yule namba tano mwenye jina lenye herufi tano (Owino) na kipa wenu mwenye jina lenye herufi tano (Peter) na yule mwingine Elius