Upendo Nkwarengo
Member
- Jul 21, 2014
- 31
- 16
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Muri kata ya Kashashi jimbo la Siha,Ndugu Godbless Mbonika amevamiwa na vijana wa ccm na kujeruhiwa Muda huu.
Tukio limetoka katika kijiji cha Kirisha ambako ndugu Mbonika alivamiwa akituhumiwa kwamba amezui watu wasifike kwenye mkutano wa Mbunge wa CCM Naibu Waziri Ndugu Mwanri.Katika mkutano huu wa Naibu Waziri ambao umekuwa ukiairishwa mara kwa mara kwa kile kinachosemekana kwamba eneo hili ndiko anakotoka Mwenyekiti wa Vijana wa Chadema Jimbo wakitangaza mkutano wananchi hajitokezi lakini Chadema wakifanya wanakuja wengi huyu ndie anae fanya hivi akishirikiana na Saro.
Huku wakiwa wanampiga na kumvua nguo zake walisiki wakisema"kaka sisi tunakuambia wewe umekuwa unahamasisha watu wasije kwenye mkutano ni mara ngapi tunatangaza mikutano na watu hawaji,sasa hata kama hiki kijiji ndio anatoka huyo Imma Saro Mkt wa Vijana wilaya lazima mtambue huyu ni Naibu angalia hakuna hata watu kumi,
Tuko njiani kuelekea kituo cha Polisi.Sala zenu Wanamabadiliko.
chanzo Mwandishi wetu Lidya.