Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 wa ACT Wazalendo Emmanuel Mvula, amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Segerea lililopo Manispaa ya Ilala Jijini Dar es Salaam.
Mvula amechukua fomu hizo katika ofisi ya msimamizi msaidiza wa uchaguzi jimbo la Segerea zilizopo kwenye ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Jambo TV