McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Viongozi wa Jumuiya ya Maridhiano na amani Mkoa wa Mtwara, wamesema wanaridhishwa na utu wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na Falsafa ya R4 ambazo ameziasisi.
Aidha, wamesisitiza wananchi kushiriki ipasavyo katika Uchaguzi wa mwaka 2025 huku wakitunza amani na utulivu uliopo nchini katika kipindi hiki cha Uchaguzi.