aminangalo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 974
- 189
Ephata Nanyaro mwenyekiti wa chadema Arusha akishirikiana na mkuu wa soko la kilombero Arusha mjini ameshiriki kushusha bendera za Ccm kwenye soko la kilombero
Baada ya dili yao kugundulika mkuu huyo wa soko alishusha bendera za Ccm na kuacha za chadema baada ya zoezi hilo kufanyika juzi nusu kwa malengo ya kuja kuhitimisha kwa kuvunja shina lililozinduliwa na katibu mkuu Wa Ccm ndugu kinana
Baada ya viongozi Wa Ccm wa kata ya Levolosi kujulishwa na wafanyabiashara Wa soko la Kilombero kuwa kuna uhuni huo waliandamana kwenda kwa mkuu Wa soko la Kilombero mkuu huyo wa soko alikiri kushusha bendera hizo akidai alipewa maagizo na mkurugenzi Wa. Jiji la Arusha Juma IDD na anayo barua ya kufanya hivyo
Katibu Wa ccm wa kata ya levolosi Ndosa alimsii Sana mkuu Huyo wa soko aonyeshe barua ya mkuregenzi akakataa katukatu
Mwenyekiti Wa Uvccm wilaya ya Arusha mjini alipoingia kuwatuliza vijana wake aliwaomba watulie baada ya kutulia alimwambia mkuu huyo Wa soko kuwa aache mchezo wakitoto kwanza kucheza na Kazi yake pili kufanya mzaa mbaya ambapo alimwagiza atoke ofisini nakwenda kurudisha haraka Sana hizo bendera nakupa masaa mawili kamwite huyo mkurugenzi aliyekuambia ushushe bendera za Ccm na kuacha za chadema mpandishe naye laasivyo hapataeleweka hapa mjini
Masaa mawili baadae bendera hizo zilirudishwa Kama mwanzo ni pale soko la vitunguu kilombero
Kama zimesharudishwa unataka sisi tufanye nini.
Japo sina bahati,wewe hata bure sikutaki
Ukiwa na joto unaangaika,
Huna mume?

Sio bendera bali walikuwa wanawaondoa inzi wa kijani sokoni.
Mzee mwenye umri zaidi ya katibu wako unamawazo kama haya ukawa bana.Kilombero ipi mbona bendera hizi hapa? Mimi nasubiria muda ufike niziondoe hazina maana ya kuwepo kwenye jiji la chadema
Wabunge wa chadema arusha wapo wangapi hivi?Ah! Hv maccm bado mpo arusha mmeamua kufa kiume polen sn
Siasa za arusha mnajuana wenyewe make karibu arusha yote ukawa na bavicha wanauza bangi ndiyo maana siku ile Lema alisema bavicha hawataenda kwenye uchaguzi wa kalenga kuuza bangi ila wataenda kulinda kura kwahiyo tafsiri ya hili ni kwamba bavicha arusha wanauza bangi.
Ephata Nanyaro mwenyekiti wa chadema Arusha akishirikiana na mkuu wa soko la kilombero Arusha mjini ameshiriki kushusha bendera za Ccm kwenye soko la kilombero
Baada ya dili yao kugundulika mkuu huyo wa soko alishusha bendera za Ccm na kuacha za chadema baada ya zoezi hilo kufanyika juzi nusu kwa malengo ya kuja kuhitimisha kwa kuvunja shina lililozinduliwa na katibu mkuu Wa Ccm ndugu kinana
Baada ya viongozi Wa Ccm wa kata ya Levolosi kujulishwa na wafanyabiashara Wa soko la Kilombero kuwa kuna uhuni huo waliandamana kwenda kwa mkuu Wa soko la Kilombero mkuu huyo wa soko alikiri kushusha bendera hizo akidai alipewa maagizo na mkurugenzi Wa. Jiji la Arusha Juma IDD na anayo barua ya kufanya hivyo
Katibu Wa ccm wa kata ya levolosi Ndosa alimsii Sana mkuu Huyo wa soko aonyeshe barua ya mkuregenzi akakataa katukatu
Mwenyekiti Wa Uvccm wilaya ya Arusha mjini alipoingia kuwatuliza vijana wake aliwaomba watulie baada ya kutulia alimwambia mkuu huyo Wa soko kuwa aache mchezo wakitoto kwanza kucheza na Kazi yake pili kufanya mzaa mbaya ambapo alimwagiza atoke ofisini nakwenda kurudisha haraka Sana hizo bendera nakupa masaa mawili kamwite huyo mkurugenzi aliyekuambia ushushe bendera za Ccm na kuacha za chadema mpandishe naye laasivyo hapataeleweka hapa mjini
Masaa mawili baadae bendera hizo zilirudishwa Kama mwanzo ni pale soko la vitunguu kilombero
Huwezi nipata maana ww nikama mm tuu mtakuvalisha kanga tena moja
Hawa CHADEMA wanacheza na nguvu ya UMMA. Hawaijui vizuri Arusha. Tena Pale Kilombero wafanyabiashara wa pale hawana mzaha.