Kumbe Samsoni ni Mwi.....Gamba? amekuwaje CDM? Nijuavyo Ma...Gamba yapo CCM !!!! Joka lililoelezwa na mwenyekiti wake, mheshimiwa Raisi,mtaalam wa safari na misemo. CDM tumsamehe huyu kwani hajitambui na labda kaonjeshwa kahawa ya mtaa wa Lumumba kama hajakutana na Delila wetu ndani ya chama. Saba mara sabini nimemsamehe.