MWENYEKITI CCM atimkia CHADEMA !

Ufisadi wa namna hii lazima tuuwe mtu bila kufanya hivi watu wataendelea kula hela za ruzuku na kunyanyasa wengine.
 
Wanachadema wakubali wasikubali mwigamba ana hoja ya msingi, bila kuzijadili hoja hizo ni kuiweka pabaya chadema huko mbeleni.

thread za mwigamba ziko nyingi sana , hapa hatakiwi .
 
Unataka kuwaaminisha watanzania kuwa wenyeviti wa vijiji ni viongozi wa serikali! janja ya nyani!!pole weeeeeeeeeee!!!

kamanda , huyo kijana ni kati ya wale wanaotakiwa kuhurumiwa sana !
 
Kumbe wenyevii wa vijiji ni wenyeviti wa ccm?? Look at you mleta mada mchumia tumbo

usijitoe ufahamu mkuu. chama kina wenyeviti kuanzia ngazi ya kijiji /mtaa hadi taifa. Ulidhania ni baba LIZ 1?
 
Kwa mwendo huu hiki chama kitakufa tu.
Chadema ni maiti inayotembea.
 
Wachunguzi wa siasa za Tanzania wamedokeza kwamba Magufuli ni kati ya mawaziri wa mwanzo kabisa kupoteza ubunge 2015 ! Inasemekana CHATO ni kama hakuna ccm , Atafuatiwa na lukuvi , wasira na Nchimbi !
 
Wachunguzi wa siasa za Tanzania wamedokeza kwamba Magufuli ni kati ya mawaziri wa mwanzo kabisa kupoteza ubunge 2015 ! Inasemekana CHATO ni kama hakuna ccm , Atafuatiwa na lukuvi , wasira na Nchimbi !

Lisemwalo lipo. Kama halipo laja.
 
cha kushangaza ni kwamba pamoja na chato kuongozwa na ndugu Magufuli kwa muda mrefu , bado amekosa ushawishi wa kuwafanya watu makini wabaki ccm !

Uzuri ni kwamba pamoja na makeke yoote ya Maghufuli uwezo wa kuizuia CHADEMA jimboni kwake umeshindikana. Ametumia vitisho, kubembeleza na hata rushwa kuiangamiza CHADEMA Chato kachemsha na sasa hata Mwenyekiti wake wa kitongoji ni wa kutoka CHADEMA. Jimbo la Chato lina wafuasi wengi wa chama hicho kiasi kwamba sintashangaa kama katika chaguzi zijazo litaenda CHADEMA.
 

asante kamanda , mungu akuepushe na vitu vyenye ncha kali .
 
Kumbe wa kijiji manyago tu hata hivyo hiyo siyo ishu ishu hapa ni viongozi wa chadema kupigana bonge la aibu.

Wanachama wenu sikuhizi ni manyago?

Haya chadema inajali watu wote ni sawa na imempokea mwanachama mpya unaemuona kama kinyago
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…