Mwenye uzoefu wa Internship ya World Vision

mosses son

Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
26
Reaction score
7
Habarini ndugu zangu poleeni na mihangaiko ya kutwa mimi nilikuwa naulizia mwenye uzoefu na Interns za world vision jinsi wanavyolipa na kazi zao mana mimi ni Eng (civil) naombeni msaada anayejua au anafanya kazi na hilo shirika anisaidie swali langu.
 
Naam kwa ninavyofaahamu mimi intern kuna percent flani wanapata hata kama sio malipo kamili mkuu
 
Wale jamaa huwa wana udini sana....bila ya kuwa na cheti cha ubatizo kupata ajira kwenye hilo shirika uchwara ni ngumu sana......hawajali sana taaluma yako ila wanachoangalia wewe ni nani na umeletwa na nani ( kamlete system)
Hivi huwa wanaajili ma engeer tu au ht taaluma zingine

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wale jamaa huwa wana udini sana....bila ya kuwa na cheti cha ubatizo kupata ajira kwenye hilo shirika uchwara ni ngumu sana......hawajali sana taaluma yako ila wanachoangalia wewe ni nani na umeletwa na nani ( kamlete system)
Uongo
 
uongo
 
Hiyo ni uongo bwana
 
Habarini ndugu zangu poleeni na mihangaiko ya kutwa mimi nilikuwa naulizia mwenye uzoefu na Interns za world vision jinsi wanavyolipa na kazi zao mana mimi ni Eng (civil) naombeni msaada anayejua au anafanya kazi na hilo shirika anisaidie swali langu.
Intern unataka ulipwe na wakati upo mafunzoni? labda ungeuliza hata ku volunteer
 
Mimi nataka niende kuomba hapo, wako sehemu gani kwa hapa Dar
 
Back
Top Bottom