Mwenye uzoefu na hili

Mwenye uzoefu na hili

Joined
Jan 22, 2014
Posts
42
Reaction score
2
Nahitaji kuagiza gari, kwa njia ya mtandao mwenye uzoefu anisaidie kujua yafuatayo;
1.namna ya kuagiza
2.Namna ya kulipa
3. Tax excemption kama ni mtumishi serikalini
4. Gari aina ya Ist
5. Inafika baada ya muda gani
 
Back
Top Bottom