Hatari Kwa kweliChanzo cha mimi kuacha kazi ni bayport nilikopa 4m nikashangaa den linakuja 14m hapohapo nikaacha kaz na kujiajir maana ningekuwa nawafanyia kazi!!
Mkuu kama mtu anayajua mashetani mengine pia mtutajie tuokoe watanzania masikiniNiliishangaa serikali ya mh kikwete kulea haya majini, nilishawahi kulalamika.
labda mzee Magufuli anaona, lkn hadi amtumbue beni, ndulu si wakutuua na wanyonya damu hawa
sio beopoti tu yapo manyangumi mengi
Itakufaje na inatengeneza super normal profit?Hivi hii Taasisi mbona haifi?
duu m10 extra, kweli hawa jamaa ni kupe aiseeChanzo cha mimi kuacha kazi ni bayport nilikopa 4m nikashangaa den linakuja 14m hapohapo nikaacha kaz na kujiajir maana ningekuwa nawafanyia kazi!!
Wewe ni muongo mkubwa , na utalaaniwa kwa kutaka kuwaingiza watu matatizoniBaypot wako poa sana we nikikopa 78m nikarudisha 81m huin kama wako poa afu mkopo ndan ya masaa 72 from the day ya kupeleka fomu huska.
Huu ndio ukweli..ukikopa kwa miezi 6 riba haizidi 14%...mfano ukikopa mil 1 utarudisha 1.14Ukikosa kwa miezi 6 hadi 12 riba ni ndogo ila usizidi hapo
Nawajua Bayport nje ndan yani Nina PhD kuhusu wap. Mfumo wap wa ribs haupo kama ivyo ulivyoandika na umekaa kutapel sana ndio maana watu wengi wanalia sana, yan maelezo uyayopewa wakat wa kukopa ni tofauti na makato yenyewe wao wanatumia Compound interest ambayo ni hatar sana wastan wa mtu anayekopa milion 3 kwa miaka mitatu analipa around milion kumi kasoro. Ni harari sana anayejiingiza huko awe amejipanga. Mi najua vijana zaidi ya kumi wameacha kaz ya ualimu kwa mikopo ya BayportHuu ndio ukweli..ukikopa kwa miezi 6 riba haizidi 14%...mfano ukikopa mil 1 utarudisha 1.14
Ila miezi ikiwa mingi miriba ya ajabu ndio inaingia
Inaishi kitapeli ndio maana haifi.Hivi hii Taasisi mbona haifi?
Mkuu Benk ya posta sio watu wale......50% interest yaani nilijua afadhal kumbe ni wale wale....wao posta wanadanganya 15.5% mkataba ni false. sio real anafanya kuku uliza usome uulewe kuisoma upo okay, ukiletewa instalment ni ya ajabu loan 7,500,000/- kwa 14,000,000/- returnMkuu kama mtu anayajua mashetani mengine pia mtutajie tuokoe watanzania masikini
posta wako hivyo pia, false contractNawajua Bayport nje ndan yani Nina PhD kuhusu wap. Mfumo wap wa ribs haupo kama ivyo ulivyoandika na umekaa kutapel sana ndio maana watu wengi wanalia sana, yan maelezo uyayopewa wakat wa kukopa ni tofauti na makato yenyewe wao wanatumia Compound interest ambayo ni hatar sana wastan wa mtu anayekopa milion 3 kwa miaka mitatu analipa around milion kumi kasoro. Ni harari sana anayejiingiza huko awe amejipanga. Mi najua vijana zaidi ya kumi wameacha kaz ya ualimu kwa mikopo ya Bayport